LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 294
Leo nazungumzia virus aina ya SHORTCUTS Hawa ni wasumbufu sana na ni hatari,
Wapoje?
Wanasambazajwe?
Madhara yake nini?
Tiba yake nini?
Tuende pamoja.
Virus hawa sijajua chanzo chake ila. Utawajua kupitia njia kuu ambayo, ukichomeka flash utaona mafaili yaliyopo kwenye flash yana JIRUDIA RUDIA, halafu yale yaliojirudia yanakuwa na rangi tofauti kidogo na original file.
Pili utawajua endapo utajaribu kufuta mafaili yale baada ya muda kidogo yanajutokeza tena hata kama yalifutika.
Madhara yake: hawa shortcut virus wanashambulia computer system hasa Startup areas pia hata registry.
Wakishaingia ktk computer utaona computer inakuw slow hasa ukichomeka USB devices.
Wakishakuwa critical (extreme) watakuja kutafuna programs zako endapo kama haujazi ZIP,
Virus hawa wanaambukiza kifaa kingine hasa flash disk, pia kama computer yakp ina virus hawa utawaambukiza wote wataochomeka flash.
Wale wanaopiga window nadhan washakutana na tatizo la programs zao kuliwa, bas wajue hawa ndo chanzo.
TIBA YAKE NINI? Kama una ant-virus aina yeyote hawa virus ni kiboko hawang'oki labda window defender ya windows 10 ikiwa bado strong. Avast, avira, Smadav, USB Disk security, Kaspersky, etc haziwezi hapa.
DAWA YAKE: Ni program moja ivi inaitwa UsbFix ina MB zisizozidi 5 unaistall fasta.
Kisha utabofya walipoandika RUN ANALYSIS kisha...... (natuma picha)
baada ya hapo kwa juukuna vitu vitu
1.FULL ANALYSIS
2. WINDOWS
3.USB
utabofya unachotaka kuscan, ukibofya full yaan vyote computer na usb zote, ukibofya window ni computer tu, ukibofy usb ni devices ulizochomeka tu.
Kama computer yako haina virus hao, itatokea picha ya mdoli ikitabasam kama ilivyo katika picha.
Kama kuna virus watatokea hapo kisha chini yake litatokea neno CLEAN Unabofya clean utaona wanavyotoka mmoja baada ya mwingine.
Naongezea tu hapo.
Ile window defender ya kwenye window 10 kiukweli naikubali sana.
Yani sometimes kama unatumia window 10 hunahaja ya kuhangaika na ma u
Antvirus mengine
Ile inatosha kupambana na wadudu.
Kinachotakiwa ni kuifanyia updates tu