Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Ahahaha kuna software mkuu ukiweka tuu windows defender inakataa..Hujakutana na misala wewe
Getintopc ni most trusted website kwa ajili ya premium software na huwezi kukutana na kadhia ya software zenye virus kuweza ku harm pc yako.
Lakini nayo changamoto yake software nyingi huwezi kuzipata. Na sometimes hata ukizipata utakuta sio latest.
Hapo ndio unaona umuhimu wa kuzama chimbo kuzisaka. Na huko ndio utakutana na ma developer wenye roho mbaya.
Hapo ndo mtu unaanza kuzima windows defender ili app yako iwe ina sapport...
Sasa pc ya namna hiyo ukija kuweka access ya internet ikifanya update jua tuu zile software zako lazima ziwe banned..
Ndo mana mimi pc yangu ya kazi za graphic huwa siwek access ya internet nikiweka ni mara chache sana....
Ndio mana nashangaa mnaposema ma file wamekula...
Na ant virus nayotumia ni normal sana ambayo daily wanataka niwe na access ya premier