Leo nazungumzia virus aina ya Shortcuts

Ahahaha kuna software mkuu ukiweka tuu windows defender inakataa..
Hapo ndo mtu unaanza kuzima windows defender ili app yako iwe ina sapport...

Sasa pc ya namna hiyo ukija kuweka access ya internet ikifanya update jua tuu zile software zako lazima ziwe banned..

Ndo mana mimi pc yangu ya kazi za graphic huwa siwek access ya internet nikiweka ni mara chache sana....

Ndio mana nashangaa mnaposema ma file wamekula...
Na ant virus nayotumia ni normal sana ambayo daily wanataka niwe na access ya premier
 
Nimejipatia virus kwa kushusha app ya mwaka 2012, mpaka sasa ninakutana na haya madude $RECYCLEBIN , System Volume, na hii desktop.in
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…