Leo ndio itakuwa mwanzo na mwisho wa Simba kuutumia uwanja wa Chamazi, bora tukacheze Zanzibar au Mkwakwani

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kwa mambo mnayotufanyia wenzetu wenye kumiliki uwanja ni dhahiri kabisa hamna nia njema na Simba, inaonyesha ni kwa namna gani mlivyo na mapenzi na wale waliocheza jana, inshaallah Leo tutashinda au vyovyote vile lazima twende makundi.

Ila mmetengeneza uadui mkubwa na sisi.

Simba nguvu moja
 
Mshaanza kutafta sababu. Kachezeni mpira acheni makelele na lawama kama wajane
 
Malalamiko yote hayo kisa tu mmenyimwa nafasi ya kuroga uwanja wa Chamazi. Yaani umelipia ela ya kukodi uwanja kwaajili ya mechi halafu unataka kufosi uutumie na mazoezi pia. Mazoezi kafanyieni Bunju huko ikifika muda karibia na mechi pandeni gari lenu mje uwanjani. Acheni visingizio.
 
Tena uwo uwanja ilo kapeti bado ni Jipya, ao mbumbumbu mkicheka nao wata likata ili kuchimba na kufukia makafara yao mtashangaa baada ya mwezi kapeti lote linakua la kijivu kama zile nyasi za kwa mkapa.

Unaweza kuta wamesha kuja na fundi wa kushona maturubai ili wakisha likata na kufukia makafara, walishone tena.

Wekeni mtu mwenye gobole kabisa alinde uo uwanja, jamaa ni waharibifu sana likija swala la ushirikina.
Wafanye imani zao nje ya eneo la kuchezea sio ndani uo ni upuuzi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ulizuiwa usiku kuwangia eeh?
 
Hivi Simba walifata Nini chamanzi? Si wangependa hata amani Zanzibar.
 
Genge linalojiita timu KUBWA linalalamika

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kwani zile buku buku mlizochanga kipindi kile hamkumaliza kujenga uwanja wenu mpaka leo?
 
Huyu anayoongea ni ya ndani sana na inaonekana ni mtu wa simba kindaki ndaki

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini hamjengi wenu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…