Kuliwekwa kila Njama ili Simba afungwe.
Azam akizifunga timu zote anakuwa kimya tu.
Akiifunga Simba wanafanya hadi Sherehe. Na zawadi juu.
Mafanikio Simba kimataifa wanafanya timu kubwa za hapa nchi kujenga chuki kali dhidi yake badala ya kujifunza toka kwao.
Azam alitakiwa kufurahi kwa Simba kutumia uwanja wake kimataifa.
Badala yake yeye na yule mshirika wake mpya wanaodhamini na mzamimi mmoja waliweka mtego ili Simba afungwe na wafurahi kama kawaida yao ya kila siku.
Azam itabaki timu ya Matangazo ya Unga kwa miaka yote shauri ya utoto wao.
Hawakui kabisa.
Leo Bila kudra za Mwanyezi Mungi Simba ilifungwa kirahisi kabisa uwanja ulishachukuliwa na maadui wawili.