Rogers luyangi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 552
- 948
Ingekua mbovu isingeingia makundi,makundi hawaingii wabovuSimba mbovu
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekua mbovu isingeingia makundi,makundi hawaingii wabovuSimba mbovu
😂😂😂Maskini hawanaga hasira wewe.
Susa ukachezee coco beach shwain wewe..
Msitafute visingizio, Simba tatueni matatizo ya uchezaji wa timu yenu.Kuliwekwa kila Njama ili Simba afungwe.
Azam akizifunga timu zote anakuwa kimya tu.
Akiifunga Simba wanafanya hadi Sherehe. Na zawadi juu.
Mafanikio Simba kimataifa wanafanya timu kubwa za hapa nchi kujenga chuki kali dhidi yake badala ya kujifunza toka kwao.
Azam alitakiwa kufurahi kwa Simba kutumia uwanja wake kimataifa.
Badala yake yeye na yule mshirika wake mpya wanaodhamini na mzamimi mmoja waliweka mtego ili Simba afungwe na wafurahi kama kawaida yao ya kila siku.
Azam itabaki timu ya Matangazo ya Unga kwa miaka yote shauri ya utoto wao.
Hawakui kabisa.
Leo Bila kudra za Mwanyezi Mungi Simba ilifungwa kirahisi kabisa uwanja ulishachukuliwa na maadui wawili.
Me ni mganga, lakini sio wakienyeji.Mbona na wewe ni mchawi tu?
Unaganga njaa?Me ni mganga, lakini sio wakienyeji.