Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,437
- 1,027
Kwani we sio m-TZ?kufungwa ni kufungwa tu.. walipoteza kwao na nyie mmepoteza kwenu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani we sio m-TZ?kufungwa ni kufungwa tu.. walipoteza kwao na nyie mmepoteza kwenu..
Hata Chadi wanatufunga? Ama kweli maandamano na migomo yanatuathiri!
Kweli bana,wachezaji wa Simba wengi wabovu.Huyu poulsen atimuliwe maana kajaza michezaji ya Simba na ndo maana 2mefungwa,wapi Oscar Joshua,Taita,Tegete,Nurdin(anamuweka sub),Juma Seif 'kijiko'