Leo ndio leo - TAIFA STARS vs CHAD uwanja wa Taifa

Masharobaro. Mabishoo, ma handsome boy. Hawa ndio wachezaji wetu. Hatufiki popote mpaka dunia itamalizika.
 
hawa bbc mbona wanasema taifa stars imetolewa
 
Huyu poulsen atimuliwe maana kajaza michezaji ya Simba na ndo maana 2mefungwa,wapi Oscar Joshua,Taita,Tegete,Nurdin(anamuweka sub),Juma Seif 'kijiko'
 
Hata Chadi wanatufunga? Ama kweli maandamano na migomo yanatuathiri!


Haahaaaa kumbe tumefungwa sababu ya chadema.........Chad piga hao stars magoli mia viva chad
 
Tutaendelea kumlaumu kocha bure ilhali uwezo wa wachezaji ni mdogo na kibaya zaidi bidii yao ni kama homa za vipindi.Tutalaumu makocha sana lakini hata tukimleta Wenger au Mchawi Guus Hiddink jibu ni sifuri tu.Tutaishiwa kusema mara Tegete,Mwaikimba oh Redondo,sijui Boban...bure kabisa.
 
Huyu poulsen atimuliwe maana kajaza michezaji ya Simba na ndo maana 2mefungwa,wapi Oscar Joshua,Taita,Tegete,Nurdin(anamuweka sub),Juma Seif 'kijiko'
Kweli bana,wachezaji wa Simba wengi wabovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…