Leo ndio mara ya kwanza nimesikia mwanamke akitoa hewa chafu!

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Jamani si mzaha, mimi hadi umri huu nilikuwa sijawahi kusikia mwanamke akiachia ushuzi wa sauti (kujamba?πŸ™‚, sana sana ni hali ya hewa tu kuhisi imebadilika hasa nilipokuwa na mwanamke kwa muda mrefu (mpenzi wangu).

Hivyo huu ni ule ushuzi wa kimya kimya, lakini cha sauti! dah jana sitaisahau. Ilikuwa usiku wa manane usingizi umeniisha, so nikaamka kitandani na kumwacha mchepuko ili nifanye mawili matatu kwenye laptop, ghafla naskia "mfyuuuuuUUUUU!!!"

Aisee nilitoa macho sikuamini kilichokuwa kinatokea, na urembo wote ule halafu anaachia shuzi la sauti vile! ndio mara ya kwanza kusikia.

Nikaendelea na shughuli zangu lakini ile sauti hainitoki kichwani.
 
basi huo mlio usiuweke kwenye simu una harufu..........
 
Nyooo kwan wale si binadamu?? Acha ujingaa wako. Kua achana na mchepuko baki njia kuu kijanaa
 


mimi na demu wangu huwa tunashindana ushuzi wa nani una sauti sana!!! tukimaliza hapo inabidi tutoke chumbani tufungue madirisha yote maanake hakukaliki tena!!
 
Hahaha. you can't make this stuff up. Is life really that boring??
 
mimi na demu wangu huwa tunashindana ushuzi wa nani una sauti sana!!! tukimaliza hapo inabidi tutoke chumbani tufungue madirisha yote maanake hakukaliki tena!!

Hahaha jingalao origino ndo wewe
 
hahahahhaaaaa..jamani, isnt she human?!...nilivyokuwa shule niko dorm nikasikia mtu anasema how can such a beatiful girl release smethng that stinks like that...sasa hiyo issue yako ndio imenikumbusha kule, khaaaa, jamani na yeye ni binadamu kwani we vyako ni vya kimya kila mara?
 
mimi na demu wangu huwa tunashindana ushuzi wa nani una sauti sana!!! tukimaliza hapo inabidi tutoke chumbani tufungue madirisha yote maanake hakukaliki tena!!
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji28] [emoji28]
 
Asikwambie mtu Mkuu,ni ngumu sn kumsikia KE anapumua kwa sauti, hawa watu ni balaa et
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mdada tulisoma naye olvl alikuwa akijamba lazima darasa zima mtoke nje harafu alikuwa hogopi anatoka nje anaanza kukunguta sketi yake kubwa ila alikuwa genius sana
 
Usiombe yakukute kwenye ofisi ya peke yako, ile unamaliza tu kupuma na mlango ungagongwa.
Hahah ila kuna watu majasiri, wanaachia mashuzi hadharani hawajibani hawajichoshi, na ni adultsπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…