Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Jamani si mzaha, mimi hadi umri huu nilikuwa sijawahi kusikia mwanamke akiachia ushuzi wa sauti (kujamba?🙂, sana sana ni hali ya hewa tu kuhisi imebadilika hasa nilipokuwa na mwanamke kwa muda mrefu (mpenzi wangu).
Hivyo huu ni ule ushuzi wa kimya kimya, lakini cha sauti! dah jana sitaisahau. Ilikuwa usiku wa manane usingizi umeniisha, so nikaamka kitandani na kumwacha mchepuko ili nifanye mawili matatu kwenye laptop, ghafla naskia "mfyuuuuuUUUUU!!!"
Aisee nilitoa macho sikuamini kilichokuwa kinatokea, na urembo wote ule halafu anaachia shuzi la sauti vile! ndio mara ya kwanza kusikia.
Nikaendelea na shughuli zangu lakini ile sauti hainitoki kichwani.