Leo ndio mara ya kwanza nimesikia mwanamke akitoa hewa chafu!

Small minds at work [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Nimecheka sana, na kushangaa pia. Huu uzi una watazamaji si chini ya 2K lakini comments zipo 20. Sasa sijui na wao hawapuuu au hawakutani na misasa ya aina hii?
 
Bro inamaana wazuri hawana pakutolea haja ama
Na kama hawana ni gharama nyingine za matibabu na complication kibao,tumshukuru Mungu kwa uumbaji huu,Mungu wetu ni wa utaratibu...hakuna cha kushangaza maana yake kila mtu anapitia huo mchakato tunatofautiana namna ya kutoa.
 
Na kama hawana ni gharama nyingine za matibabu na complication kibao,tumshukuru Mungu kwa uumbaji huu,Mungu wetu ni wa utaratibu...hakuna cha kushangaza maana yake kila mtu anapitia huo mchakato tunatofautiana namna ya kutoa.
Ni kweli kabisa mi sishangai kabisa
 
Usiombe yakukute kwenye ofisi ya peke yako, ile unamaliza tu kupuma na mlango ungagongwa.
Mkuu hapo inabidi ufungue mlango na kumuomba mgeni samahani kuwa unarejea muda si mrefu..itasaidia kuacha mlango wazi kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa chaajabu nini? Nikwambie tuu kama hujawahi kujambiwa ukiwa unamtafuna gel wako jua bado hujanpatia vizuri [emoji3]
 
Kuna hizi sprays fulani kwa ajili ya kukata hio hali ikiwa imetokea... ni nzuri kuwa nao chooni, kwenye gari na ruumu
 
Kuna hizi sprays fulani kwa ajili ya kukata hio hali ikiwa imetokea... ni nzuri kuwa nao chooni, kwenye gari na ruumu
Zinaitwake mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Msipojambiana chumbani basi nyie hampendani, kuna vingi mnafichana!!
 
mimi na demu wangu huwa tunashindana ushuzi wa nani una sauti sana!!! tukimaliza hapo inabidi tutoke chumbani tufungue madirisha yote maanake hakukaliki tena!!
We uko kama sisi sijui unatuiga???
 
Wanakula Maandazi tuu.Hawatoagi kabisa Hewa chafu[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Usiombe yakukute kwenye ofisi ya peke yako, ile unamaliza tu kupumua na mlango ungagongwa.
Hahaha umenikumbusha siku moja nipo gheto la mshikaj napga pasi Mara nikaachia ile perfume imesambaa gheto zima ghafla demu wa mwenye gheto akaingia bla hodi pozi likaniishia, alichokutana nacho mwenyewe anajua.
 
Unanyanyuka na kuwahi mlangoni na kisha kutoka nae nje. Imetokea juzi hiyo
Hapo lazima upaniki hats hiyo KARIBU hutajua umeisema muda gani, ile kutahamaki tayar MTU yupo ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…