Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanyanyuka na kuwahi mlangoni na kisha kutoka nae nje. Imetokea juzi hiyoUsiombe yakukute kwenye ofisi ya peke yako, ile unamaliza tu kupuma na mlango ungagongwa.
Na kama hawana ni gharama nyingine za matibabu na complication kibao,tumshukuru Mungu kwa uumbaji huu,Mungu wetu ni wa utaratibu...hakuna cha kushangaza maana yake kila mtu anapitia huo mchakato tunatofautiana namna ya kutoa.Bro inamaana wazuri hawana pakutolea haja ama
Ni kweli kabisa mi sishangai kabisaNa kama hawana ni gharama nyingine za matibabu na complication kibao,tumshukuru Mungu kwa uumbaji huu,Mungu wetu ni wa utaratibu...hakuna cha kushangaza maana yake kila mtu anapitia huo mchakato tunatofautiana namna ya kutoa.
Mkuu hapo inabidi ufungue mlango na kumuomba mgeni samahani kuwa unarejea muda si mrefu..itasaidia kuacha mlango wazi kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiombe yakukute kwenye ofisi ya peke yako, ile unamaliza tu kupuma na mlango ungagongwa.
Njoo pm BlessedHopeNa kama hawana ni gharama nyingine za matibabu na complication kibao,tumshukuru Mungu kwa uumbaji huu,Mungu wetu ni wa utaratibu...hakuna cha kushangaza maana yake kila mtu anapitia huo mchakato tunatofautiana namna ya kutoa.
Zinaitwake mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna hizi sprays fulani kwa ajili ya kukata hio hali ikiwa imetokea... ni nzuri kuwa nao chooni, kwenye gari na ruumu
We uko kama sisi sijui unatuiga???mimi na demu wangu huwa tunashindana ushuzi wa nani una sauti sana!!! tukimaliza hapo inabidi tutoke chumbani tufungue madirisha yote maanake hakukaliki tena!!
Hahaha umenikumbusha siku moja nipo gheto la mshikaj napga pasi Mara nikaachia ile perfume imesambaa gheto zima ghafla demu wa mwenye gheto akaingia bla hodi pozi likaniishia, alichokutana nacho mwenyewe anajua.Usiombe yakukute kwenye ofisi ya peke yako, ile unamaliza tu kupumua na mlango ungagongwa.
Hapo lazima upaniki hats hiyo KARIBU hutajua umeisema muda gani, ile kutahamaki tayar MTU yupo ndaniUnanyanyuka na kuwahi mlangoni na kisha kutoka nae nje. Imetokea juzi hiyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh hatarew! Kumbe ndorobo mko wengi eeeh