johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Alimuua balozi wa Libya,kisha kujilimbikizia pesa za hiyo nchi ,alifikiri ataishi milele,majigambo kibao,ni mzoga huo kwa sasaLeo Benard Membe atapumzishwa nyumbani kwao Rondo
Ninamkumbuka Membe kwa mchango wake wa Fedha za kulipia Deni la manunuzi ya Viwanja vya BCIC Hakuna Lisilowezekana kwa Mungu
Nitamkumbuka Membe kwa mchango wake pale TAG - Upanga CCC
Lakini pia nitamkumbuka Membe kwa mchango wake wa Fedha kea ajili ya Ukurabati wa Ukumbi wa mikutano pale St Albans Anglican Church Upanga
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe
RIP Ben!
Hata Dini ni jambo la kitaifa meku!Hayo ni majukumu ya waumini. Ungeweka mchango wake unaoonekana kitaifa maana kipato chake ni kodi za wananchi.
Hizo ni chuki zako zilizopitilizaAlimuua balozi wa Libya,kisha kujilimbikizia pesa za hiyo nchi ,alifikiri ataishi milele,majigambo kibao,ni mzoga huo kwa sasa
Labda mbingu nisiyoijua mimi.Upokelewe mbinguni kwenye makao ya Bwana, uishi naye milele, Ndg. Bernard Kamilius Membe.
Membe hakuwa Muumini wa hayo makanisa yaliyotajwa.Kila mtu kundi Huwa na ya kushukuru.Hayo ni majukumu ya waumini. Ungeweka mchango wake unaoonekana kitaifa maana kipato chake ni kodi za wananchi.
Benard Membe RIP, ni Mwanasiasa aliyetunza Unyeyekevu Wake kama Mboni ya jicho lake. Waumini wa Kanisa la UHAI Center Baptist, Soweto Mbeya watamkumbuka Benard Membe kwa mchango Mkubwa wa Fedha alizotoa Kukarabati Jengo la Kanisa na Ujenzi wa vyumba vya Madarasa ya shule ya Awali ya Kanisa.Leo Benard Membe atapumzishwa nyumbani kwao Rondo
Ninamkumbuka Membe kwa mchango wake wa Fedha za kulipia Deni la manunuzi ya Viwanja vya BCIC Hakuna Lisilowezekana kwa Mungu
Nitamkumbuka Membe kwa mchango wake pale TAG - Upanga CCC
Lakini pia nitamkumbuka Membe kwa mchango wake wa Fedha kea ajili ya Ukurabati wa Ukumbi wa mikutano pale St Albans Anglican Church Upanga
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe
RIP Ben!
Musiba amesamehewaR.I.P Membe
Vipi hela alizokuwa anamdai Musiba zitalipwa au Musiba ndio amepona
Subiri matokeoWazee wa Rondo wametambua Nini kwenye 'postimotamu' yao