That's not how monopoly works, ingekua Bwawa linaweza kuwa accessed na makampuni hata 10 then ndio yauze umeme kwa wananchi hapo bei ingeshuka ila Kwa monopoly industry hakunaga Cha demand and supply maana hata demand ikishuka Bado hamna alternative na hata supply ikiwa kubwa wanaweza punguza maana soko linaamuliwa na kampuni mmoja tu.
Kumbuka Tanesco hawauzi umeme kwa bei ya sokoni, maana wakifanya hivyo Luku ya elfu 10 tutapewa units labda 15 pekee kulingana na mahitaji ya Sasa. Au tukienda kwa sheria zako za demand and supply, umeme una demand kubwa sio tu Tanzania ila hata nje ya nchi je wakiuza kwa bei ya sokoni unadhani nani ata afford hapa Tanzania zaidi ya nchi jirani?
So kabla hatujajadili masuala ya costing kwenye umeme, ni lazima uelewe market structure ya monopoly ni tofauti kabisa na oligopolistic au normal competitive market.
Kingine Tanesco ipo both upstream and downstream yaani inazalisha na pia Ina distribute. Ila Tanesco ikibakia kwenye kuzalisha alafu makampuni binafsi yakapewa uwezo wa kusambaza wenyewe umeme ndio Sasa hizo demand and supply zitafanya kazi na bei itashuka sana maana kutakua na ushindani