Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

Hiyo pesa ipi unazungumzia wakati inaingia mfukoni kwa mama Abdul?
 
Kuzalisha Megawatt 2000 kwa gesi na kuzalisha Megawatt 2000 kwa maji , gharama ni sawa?
 
Kuzalisha Megawatt 2000 kwa gesi na kuzalisha Megawatt 2000 kwa maji , gharama ni sawa?
Wapi nime compare kwa gesi? Nimesema ku operate Bwawa la Nyerere ni gharama kuliko mabwawa yote yaliyopo combined!! So obviously lazima gharama za uwekezaji zirudi ndio bei ishuke . Same tu na daraja la Kigamboni, au nauli za SGR, au bei za tiketi ATCL, lazima mikopo ilipwe so hauwezi shusha bei maana payback period itachelewa na riba zitapanda.

So hayo maneno ya wanaCCM na JPM wenu yalikua kuwapumbaza tu ila haijawahi tokea mradi mkubwa kujengwa afu bei ishuke mwanzoni
 
Da kwenye bandari upokimya utafikili aupo
 
Hivi nyie CCM si mlisema ni pesa za ndani Sasa mbona unakiri ni mkopo Tena?

Kingine mlisema kwamba wanahujumu Bwawa na hawataki liishe Ili wauze majenereta? Sasa kama ndio hivyo why Tena limekamilika ndio mseme lengo lao ni kuuza umeme nchi jirani? Yaani mtu anayetaka kuuza umeme kifisadi nje ya nchi ndio ahujumu Bwawa Hilo Hilo analotegemea kuuzia umeme?

Siipendi serikali ya CCM ila Kuna propaganda za sukuma gang hazina mashiko na zinakinzana.
 
Hiyo pesa ipi unazungumzia wakati inaingia mfukoni kwa mama Abdul?
Hizi siasa za dizaini hii hazitusaidii ndugu yangu hatutajenga taifa imara kwa njia hii tuachane na hizi siasa chafu na kuchafua watu kwa uwongo uwongo na kuzua kwa propaganda zisizokuwa na msingi tuwe watu honest and sincere where is your integrity ???
 
Kama gharama ni kubwa kuliko yote combine, na umeme unaozalishwa si ni mwingi kuliko yote combine, au?
 
Integrity ya aliyegawa bandari bure Kwa wajomba zake iko wapi? Aliyeuza nchi atashindwa kugawa umeme bure kwa mwanae?
 
Integrity ya aliyegawa bandari bure Kwa wajomba zake iko wapi? Aliyeuza nchi atashindwa kugawa umeme bure kwa mwanae?
Wewe hapo integrity yako iko wapi kuongea uwongo na jamani dunia si imeona kesi ya wasioridhika wameenda mahakamani na court of justice imetoa hukumu, hakuna hicho unachosema wewe hizo ni hadaa tu.
 
Kama gharama ni kubwa kuliko yote combine, na umeme unaozalishwa si ni mwingi kuliko yote combine, au?
Ndio ni mwingi na hivyo gharama za uendeshaji ni kubwa na marejesho ya mkopo ni makubwa na kadhalika. Sasa logic ya kushusha bei inatokea wapi? more so mwaka wa kwanza wa mradi?
 
Wewe hapo integrity yako iko wapi kuongea uwongo na jamani dunia si imeona kesi ya wasioridhika wameenda mahakamani na court of justice imetoa hukumu, hakuna hicho unachosema wewe hizo ni hadaa tu.
Muulize Rostam Aziz, ana majibu murua kwa ajili yako
 
Umeme ukiwa mwingi pesa inayoingia si ni nyingi pia? Kitu kikiwa kingi automatically bei yake sokoni hushuka yenyewe. Mfano nyanya zikiwa nyingi nei inashushwa ili zinunulikenkwa wingi zisiharibike au kuongeza storage cost, hata umeme, ukiwa mwingi hauwezi kuuhifadhi kwa battery, shusha bei ili utumika wote. Au la unampa Abdul anaenda kuupigianpesa Uganda.
Ndio ni mwingi na hivyo gharama za uendeshaji ni kubwa na marejesho ya mkopo ni makubwa na kadhalika. Sasa logic ya kushusha bei inatokea wapi? more so mwaka wa kwanza wa mradi?
 
Ni miradi ambayo imetumia gharama kubwa ila haina tija
Unajua maana ya Tija? Tangu lini umeme unaozalishwa kwa gharama ndogo ukakosa tija? Shida upo kwa wanotaka kuuza kwa bei kubwa wakati gharama za uzalishaji ni ndogo..
 
That's not how monopoly works, ingekua Bwawa linaweza kuwa accessed na makampuni hata 10 then ndio yauze umeme kwa wananchi hapo bei ingeshuka ila Kwa monopoly industry hakunaga Cha demand and supply maana hata demand ikishuka Bado hamna alternative na hata supply ikiwa kubwa wanaweza punguza maana soko linaamuliwa na kampuni mmoja tu.

Kumbuka Tanesco hawauzi umeme kwa bei ya sokoni, maana wakifanya hivyo Luku ya elfu 10 tutapewa units labda 15 pekee kulingana na mahitaji ya Sasa. Au tukienda kwa sheria zako za demand and supply, umeme una demand kubwa sio tu Tanzania ila hata nje ya nchi je wakiuza kwa bei ya sokoni unadhani nani ata afford hapa Tanzania zaidi ya nchi jirani?

So kabla hatujajadili masuala ya costing kwenye umeme, ni lazima uelewe market structure ya monopoly ni tofauti kabisa na oligopolistic au normal competitive market.

Kingine Tanesco ipo both upstream and downstream yaani inazalisha na pia Ina distribute. Ila Tanesco ikibakia kwenye kuzalisha alafu makampuni binafsi yakapewa uwezo wa kusambaza wenyewe umeme ndio Sasa hizo demand and supply zitafanya kazi na bei itashuka sana maana kutakua na ushindani
 
Bwawa kagharamia nani huo ujenzi wake? Maana unaongea as if hilo bwawa kuna mtu huko katoa zawadi pesa yake mfukoni kajenga, na sio wananchi
 
Kwaiyo umeme uzwee Bibi zako vijijini waendelee kuwa na macho mekundu na kuumwa vifua sasababu ya Moshi .ujinga mzigo RIP MAGU
Kupikia umeme uogo
Watu wenyewe wa mijini matajiri wanatumia majiko.ya gesi.

Ndio vijijini watumie umeme kupikia?

Jengeni hoja za kueleweka

Subsidy kubwa iwekwe kwenye gesi ya kupikia

Hizo porojo za kusema ohh watapikia majiko.ya umeme vijijini ni uongo uliopitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…