Mwenyewe siku hizi nimefukia nalelewa na Sport ladyyMwenyewe natafuta wa kuniungia na nimetelekezwa.
Mjep [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Course mpya na wewe ulisema umemaliza chuo una miaka miwili nyumbani na ulimalizia Mzumbe..hahahaKwa aambao hamjui kozi ya maendeleo ya jamii yaani Development studies (DS) ni kozi mpya ipo UDOM na UDSM kwa ngazi ya degree
Nafikirii hapo tufunge kurasa kama huelewi nenda google
Umeambiwa weka namba tukuchangie unasubiri niniMpenzi kazi ndio naanza hata kulipwa bado ndio nawaza naendaje kazini
Mbona nimetumaHajatumiwa. Anawaaminisha watu watume
Hapa JF ndo wakat huo mgeni mgeni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umekumbuka wapi mahi [emoji23]
ImewekwaUmeambiwa weka namba tukuchangie unasubiri nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukute hata hela hajatumiwa, kwa JF hii thubutuu.Kidney anatupanga nawe mahi [emoji1787]
Weka namba pm dogo nikuchangie nauli ya kaziniHapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake
Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..
Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka
Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe
Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..
Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi
Ni hayo tu wakuu
We kolo soma PMSio Google, ungesema waende kwenye prospectus ya vyuo husika ulivyotaja wakajionee, kwa uhakika zaidi.
Kumbe ni mpyaa!! Bas sawa mahi.
Me kweli roho mbaya ninayo, hujakosea. Lakini ni watu kama wewe ndo mmenifanya niwe na roho mbaya kwa sababu wengi wenu sio wa kweli. Duniani hapa mmetufundisha ukatili sana. Kwanini mdanganye kwenye maswala serious..?Sasa ndugu si uachane na uzi wa wasio na akili mbona unaniganda!!
Kama unanifahamu si utume picha yangu ili uwathibitishie watu
Sema nini nilichogundua wewe una roho mbaya [emoji120]
Shangaziiiii nimekumic piaaa!!Aunt nimekumiss
Mbona simuoni wif yangu jamni wamempiga ban nn
Mbona paragraph ya kupigwa na kidney ni mbili tofauti, una ugomvi na bwana kidney?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani half cast koko kidney alikupigaaa? Usinambieee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] typing errors hizo.Nafahamu. Hata pale Rungemba Mafinga ipo. Ila mtoa mada aliandika hivi: Nimesoma DS mnaendeleaje ya jamii udsm Ni hayo tu.
Leo nimemuonaShangaziiiii nimekumic piaaa!!
Mbona yupo, em kuwa na jicho la ndani utamuonaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha sifa,ushauri nasaha kwani Angaza hapaa,usiturushie ndege wetuAlways hakuna njia nyepesi Dada, usiwazw kudanga things will get better3 with time
Jibane kwa hicho kidogo one day yes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona hatariiiiTena watendaji wana nongwa km ndugu wa mume wanawasubiri wawakate [emoji1787]
Nimecheka kuzimia, haha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukute hata hela hajatumiwa, kwa JF hii thubutuu.
Yani huyu ni kidney mtupu hadi kutoa namba ni vile vile 😂Una akili sana chief.
Hata kujibadilisha bado hawezi, nimemgundua mapema tu toka post ya kwanza😁
Halafu amesoma course inaitwa mnaendeleaje ya jamii, alooooooo🤣🤣🤣🏃🏃🏃
OK; Haina shida tuendelee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] typing errors hizo.
Ko had muda huu hata 15k haijafika? mapedeshee ndramaa na mafogo wa JF mnaangusha brand wallah.Angalau ifike elfu 15 ili nipate ya kutolea.. kesho nitajiunga vocha