cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23] shangazi wee unatania, hauko seriousShangazi Yako siunajua la nne B ngumbaru[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] shangazi wee unatania, hauko seriousShangazi Yako siunajua la nne B ngumbaru[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka lile dude la Werrason alilopiga Zennith kadogoo alikiwasha sana mle 😂Yaaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameshakuwa kakubwaaaSasa mimba alitoa au alizaa? Halafu kumbe alisoma MU sio Udsm tena? Mbona anatuchanganya kadogooo namna gani 😂
Ku spoil tena? Ni kufundisha njia sahihi za maisha, mengine ni kumuachia Mungu tuu.Mspoil sana. Akitoka nje asiwe limbukeni
Wewe si una kazi umesema Sasa si uende kazini.?Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake
Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..
Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka
Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe
Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..
Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi
Ni hayo tu wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekumbuka lile dude la Werrason alilopiga Zennith kadogoo alikiwasha sana mle [emoji23]
tayari katazame kule.Tuma tena
Pesa ilivyo ngumu, watu wanaongeza maji kwenye lotion siku hizi 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatariii tupuuu
Hata majambazi, wauzaji nao Wanahudumia ndugu zao na familia zao lakini haihalarishi matendo yao.Waheshimu mashoga tafadhari, wako wanaojitambua na wanatumia jasho lao la halali, tena wengine wanahudumia mabasha wao. Kwa kifupi wanalea marioos na viben10.
Me kweli roho mbaya ninayo, hujakosea. Lakini ni watu kama wewe ndo mmenifanya niwe na roho mbaya kwa sababu wengi wenu sio wa kweli. Duniani hapa mmetufundisha ukatili sana. Kwanini mdanganye kwenye maswala serious..?
Sikumbuki vizuri user name, unataka kusemaje?Natafuta Ajira si ndiyo huyu Ndugu yako uliyeniquote kule kwenye comment yake ukasema nijadiliane naye kwakuwa aliandika kile kilichokufurahisha
Kadogooo naita kwa sauti ya Werrason 😂Ameshakuwa kakubwaaa
Kupewa heshima sio kuhalalisha matendo yao.Hata majambazi, wauzaji nao Wanahudumia ndugu zao na familia zao lakini haihalarishi matendo yao.
Kadogoo alicheza mle ndani sio pouwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pesa ilivyo ngumu, watu wanaongeza maji kwenye lotion siku hizi [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zinauma wallahKadogoo alicheza mle ndani sio pouwa
Aisee..! Nikifika wakati wa kuhitaji kuoa nitaongea na wazee wanitafutie mwali kijijiniSasa usilalamike kusimangwa na kaka yako, na kifuatacho atakufukuza. Hapa wadada wote tutakwambia vumilia ila ukweli na wao wamewapanga masponsor sababu wanawake nature yetu kupokea na sio kutafuta
Vidada vya dizaini hii ndio tunapigianaga pasi za kina gaucho... Eti mwanamke asili yake kupokea sio kutafuta wenzio kibao wanapambana nowadays... Eti ooh tafuta sponsor wa nyoli nyoli... Afu ndio utake haki sawa kwa wote??? Haki na jala yangu umekula... Yaani Itakua kama nachinja kukuSasa usilalamike kusimangwa na kaka yako, na kifuatacho atakufukuza. Hapa wadada wote tutakwambia vumilia ila ukweli na wao wamewapanga masponsor sababu wanawake nature yetu kupokea na sio kutafuta