Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Nauli 3000 x 30 = 90,000
kula 2000 x 30 = 60,000
jumla Tshs 150000/-
baki 100,000/-

pangia huko nyumbn , nenda kapange huko kazn life simple
Tafta chumba Magomen cha elf 30,ambapo hulipi nauli chakula cha usiku elf 2.Nyumban utaenda ijumaa
 
Mjumbe hauwawiii!!!

Kwa hisani ya wafukua makaburi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2986177

Dear uwezi kufungua code zote humu maana kuna baadhi ya watu tunafahamiana Nao humu so wakati mwingine tunabadilisha wahusika, mahali hata majina

Leo nimesema nipo kenya kesho nitakuwa TZ hiyo haibadili maana ya ninachokisema

Tatizo watu tunazingatia mambo ya kipuuzi kuliko ya msingi

Ikitokea mtu ameomba CV yangu basi yeye ndio atajua wapi nilizaliwa na wapi nilipo, siwezi kujiexpoziii kila kitu Jf Kuna wenginee wakisoma tu wanajua huyu ni mtu fulani so be positive binti
 
Bas sorry mahiii, mie nimepewa niiweke humu.
Ndo maan nilisema "mjumbe hauwawi". [emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Reactions: 511
Kunywa maji paragraph ndefu umeandika dada
 
Reactions: 511

Sawa babu vipi umelizika? Au bado unashusha povu
 
Wanaume wenye hela tupo lakini niamini mimi, mtu mwenye matatizo kama yake asingekuwepo hata JF saivi akiandika uzi kama zake. Mimi nikiwa na changamoto zangu za kawaida tu, JF siingii hata week, sembuse hizo shida kibao kama hizo...Muongo huyu.
JF kama community; unashauri tufanyeje ili mtu mwenye uhitaji na ameona hii ni sehemu sahihi ya kusaidika asaidike?

We unashaurije rafiki, zamani tumechangia watu humu... mpaka zilipokuja zama za uhalifu na utapeli, Je tufanyeje?

NB. Hakuna community ambayo watu hawachangiani, huko kwenye magroup ya WhatsApp, insta na kwingineko wanachangiana, Jamii ya kiafrika bado vitu vidogo kama nauli, chakula na malazi ni struggle kwa wengi, na binafsi naelewa mtu akisema hana mtu wa karibu wa kumshika mkono, It might be different kwa mimi na wewe, tukawa na backup zetu za kutukwamua wakati wa majanga, ila trust me 60% ya waTz hawana, when man down, then a man is completely down...
 
Me hapa siondoki ili niokoe watu wema ambao unataka uwaibie.
 
Mlioko Bunju/Magomeni na maeneo jirani changamkieni fursa.

Tangazo limekaa kiutu uzima hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…