Sasa hana bill ya maji? ya Umeme? vp hapo nyumbani hajipikii? kama amepanga vp kodi ya pango halafu umesahau bando au hapigi cm? Ke wana mahitaji nyeti kila mwezi "mshahara" hilo unaliwekaje kwa mfano auNauli 3000 x 30 = 90,000
kula 2000 x 30 = 60,000
jumla Tshs 150000/-
baki 100,000/-
pangia huko nyumbn , nenda kapange huko kazn life simple
Ndiyo lakini sio kwa staili hiyo.Huyo anatafuta kivuli kwa long way wewe soma kwa umakini utaelewa
Weka staili yako ili aweze kujihudumiaNdiyo lakini sio kwa staili hiyo.
Haya sasa mabaharia kazi kwenu0679497293 Rahma Yusuph
Pole sana,maisha ya Dar kama ndio unaanza maisha ni kazi sana,lkn utazoea, endelea kukomaa na kumshirikisha Mungu ili akupe hekima usije ukaingia kwenye kutafuta pesa kwa njia zisizofaa...Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake
Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..
Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka
Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe
Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..
Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi
Ni hayo tu wakuu
Mmmh. Ni lazima kwanza kutafakari. Misaada mingine yaweza kuwa hatarishi.shosti s umeambiwa uweke namba au niweke namba yangu? una shida kweli ww?
Tafuta namba ya wakala wa karibu ambaye mnaaminiana nae.. Then mpe mtu anaekuja DM ili akutumie then akupe jina alilotumia kupokea na kiasi.. Hii itakuwa nyepesi tuNatamani kufanya hivyo ila kuna watu humu wanaweza kutumia namba yangu kunikejeli
Kwani hakuna fursa nyingine? e.g. Hapo kazini kwake hawezi kuanzisha mobile retail service ya chai n.k. i.e akiamka asb. anaandaa chai yake safi, nzito na vitafunwa then anajibebea kwenda nayo kazini na ikifika tea break anawadaka wadau. Akiweza kumake 500 per day kwa mwezi faida ni 15,000/= - sio haba kuliko kudanga mtoto kama huyo na elimu yake.Weka staili yako ili aweze kujihudumia
Atunze 50k na hayo mawigi unayaweka wapi?1.wewe umesema Mama yako anapika tu chapati za maji,bado unalaumu kuwa hajakuachia hela.sasa yeye anaitoa wapi kama wewe unashindwa?
2.Umesema unapewa 250K,ambapo nauli na chakula kwa siku unatumia 5K wastani kwa mwezi ni 150K ukisema uchukukue 50K uwe unakula jioni nyumbani,uakuwa na uwezo wa ku serve 50K kwa mwezi .Iwapo ukaamua kujibana kwa miezi 3 utakuwa na akiba ya 150K,na ukifanikiwa utaona mambo yanaanza kwenda.
90% ya Watanzani wametokea katika familia kama yako,acha tamaa ya kutaka vitu usivyo na uwezo nao.utaidhia kufa kwa ukimwi.
Mara sijui mapenzi yanamtesa, mara sijui nini..Hayo mawe unayorusha taratibu mtavunja vioo vya madirisha
1.wewe umesema Mama yako anapika tu chapati za maji,bado unalaumu kuwa hajakuachia hela.sasa yeye anaitoa wapi kama wewe unashindwa?
2.Umesema unapewa 250K,ambapo nauli na chakula kwa siku unatumia 5K wastani kwa mwezi ni 150K ukisema uchukukue 50K uwe unakula jioni nyumbani,uakuwa na uwezo wa ku serve 50K kwa mwezi .Iwapo ukaamua kujibana kwa miezi 3 utakuwa na akiba ya 150K,na ukifanikiwa utaona mambo yanaanza kwenda.
90% ya Watanzani wametokea katika familia kama yako,acha tamaa ya kutaka vitu usivyo na uwezo nao.utaidhia kufa kwa ukimwi.
Eti eeh! Kashakwambia anafanya kazi gani?Kwani hakuna fursa nyingine? e.g. Hapo kazini kwake hawezi kuanzisha mobile retail service ya chai n.k. i.e akiamka asb. anaandaa chai yake safi, nzito na vitafunwa then anajibebea kwenda nayo kazini na ikifika tea break anawadaka wadau. Akiweza kumake 500 per day kwa mwezi faida ni 15,000/= - sio haba kuliko kudanga mtoto kama huyo na elimu yake.