kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Na anaonekana ni mwanaume huyu.Hili swali analiruka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na anaonekana ni mwanaume huyu.Hili swali analiruka sana.
🙄🙄🙄Sasa usilalamike kusimangwa na kaka yako, na kifuatacho atakufukuza. Hapa wadada wote tutakwambia vumilia ila ukweli na wao wamewapanga masponsor sababu wanawake nature yetu kupokea na sio kutafuta
Mkope mtu yeyote hapo nyumbani unapoishi kwanza umesema tabia yako ni nzuri na unaheshimika. Mfuate mama mtu mzima jirani umwombe mkopo na umuekeze vizuri atakuelewa. Ukishindwa kupata hapo nyumbani mkope mwenzako kazini unayefanya naye sehemu moja atakupa.Dear sijapokea mshahara Ndio kazi naanza nina siku 10 tu
Ndio maana nikaomba support ya nauli mpk nipate mshahara
Kama wadau wapo serious, Why not. Mimi ni mshauri tu; sisubirii chochote nipo zangu huku Umasaini ndani-ndani huku.Kwahiyo nawe umetulia unasubiri watu watume pesa kabisaa?
Wanaume wenye hela tupo lakini niamini mimi, mtu mwenye matatizo kama yake asingekuwepo hata JF saivi akiandika uzi kama zake. Mimi nikiwa na changamoto zangu za kawaida tu, JF siingii hata week, sembuse hizo shida kibao kama hizo...Muongo huyu.
Weka namba uchangiwe,unaishi bunju ipi!Ndio nimeanza kazi sina hela ya chumba
Usiingie huo mtego.Natamani kufanya hivyo ila kuna watu humu wanaweza kutumia namba yangu kunikejeli
Huko umasaini mpesa si inapatikana na network iko fresh? Haya tuma mzigo mrembo apate nauli sasaKama wadau wapo serious, Why not. Mimi ni mshauri tu; sisubirii chochote nipo zangu huku Umasaini ndani-ndani huku.
OK. Vip katika eneo lako hakuna fursa za Bob a job? e.g. watu wanaohitaji kuoshewa vyombo, kufuliwa nguo, kufanyiwa usafi - kazi hii waweza kuifanya kama part time ukitoka kazini. Hii ukipata 1000 kwa siku; kwa mwezi utatengeneza 30,000/= (Hapo usiangalie elimu au status quo)
Tafuta financial support kwenye Taasisi za fedha hata kama ni zile kausha damu. Ila huku Jeiefu watakuongezea stress.Ni kweli ila niliomba anivumilie nipate angalau mshahara
Kwa nn huyu dada swali la amesomea nn analikwepa, tafadhali watu sitisheni hiyo miamala mpaka aseme nn kasomea isije kuwa watu tunapigwa hapa........akisema kasomea nn pengine wadau twaweza mpatia hata ofa ya kazi nzuri zaidi.
Hivi umejaribu kuwaza kwa upande mwengine wa hio kauli?. Huyu kaka ana familia yake pia anasaidia mama yake na wewe pia unakwenda kula hapo.
Fikiria upande wa mkewe pengine nao ana saidia pia hapo majukumu yamemzidi kuliko uwezo wake. Ni kweli kauli sio nzuri aliotoa kwako lakini pengine yeye mwenyewe ana matatizo zaidi yako lakini kaamua kufa kiume na shida zake. Ukiona mwanaume anatoa kauli kali kwa familia ujuwe majukumu yamzidi
Njoo ulilie hukuDah! Nimelia saana
Unafanyia kazi Private enterprises auKazi natoka saa 1 naingia saa2 nyumbni nafika saa 4 napumzika jmosi tu… nilikuwa nauza maandazi ila sasa hivi muda sipatii narudi nimechoka sana
Nilisema nifanye angalau miezi 6 nitafute mtaji
Tafuta financial support kwenye Taasisi za fedha hata kama ni zile kausha damu. Ila huku Jeiefu watakuongezea stress.
Kama huyo kaka ako yupo humu JF akiona huu uzi ataugua na atajirudi sana. Inaĥuzunisha sana hii.Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe
Unafanyia kazi Private enterprises au