Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Tena? Kha! Mbona huko ni kujidhalilisha kwa kiwango cha lami.Wewe msenge nae kila siku unakuja na visa vipya, utakuwa mwanaume wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena? Kha! Mbona huko ni kujidhalilisha kwa kiwango cha lami.Wewe msenge nae kila siku unakuja na visa vipya, utakuwa mwanaume wewe
😂Wa kumchangia fwedha hayupo labda wa kumsumbua kwenye simu na mitongozo ya hapa na pale.
Wanaume wenyewe wa kutoa pesa hawa wanaoulizia kazi za kuandikisha wananchi kwenye daftari la wapiga kura?
Niko pale nimekaa wakimtumia
Ila wanawake sijui mkoje yaani ukikumbwa na changamoto kidogo unachowaza ni kuuza kei. Sio fair naamini hapo hapo ofisini kwako kuna wafanya usafi na walinzi huenda wanalipwa 150,000 ila hawajawaza kujiuza. Kama una uhakika wa chakula kwa kaka yako huoni ni sapport kubwa sana aisee!Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake
Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..
Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka
Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe
Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..
Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi
Ni hayo tu wakuu
Njoo nikupe kazi ila ni mkoani
Ila wanawake sijui mkoje yaani ukikumbwa na changamoto kidogo unachowaza ni kuuza kei. Sio fair naamini hapo hapo ofisini kwako kuna wafanya usafi na walinzi huenda wanalipwa 150,000 ila hawajawaza kujiuza. Kama una uhakika wa chakula kwa kaka yako huoni ni sapport kubwa sana aisee!
Kumtumia pesa mtu sio mchezo jamani
Wako wadada hawapokei hata hiyo 250k na wanatembeza mihogo na karanga na wana watoto na familia na maisha yanasonga! Kudanga siyo na haijawahi kuwa excuse!
Fursa hiyo, itumie vizuriNi kweli ila maisha yanatupa hizo chaguzi
Yaani nimewaza leo kuna mtu anataka nikaishi nae au niende tu labda ugumu wa maisha utapungua
Hizo scamming method za kutumia public sympathy nimezishuhudia sana kwa watu wengi. Wewe utawapiga wajinga wenzako, ila wengi huwapati.Shida ni kuwa unafikiri watu wote wenye changamoto basi wanazichukulia changamoto zao Kama wewe unavozichukulia
Mkuu dunia ina watu wengi na tupo tofauti katika kukabiliana na changamoto… shida nimepitia nyingi sana ila hii imenifanya kuomba ushaurii
Kuwa positive sio kila nyuzi unaona ni chai
Kazi zingine sio mpaka uwe umesomea boya wewe! Labda atakuwa muhudumu wa gesti au yupo kiwandani, nk.Kwa nn huyu dada swali la amesomea nn analikwepa, tafadhali watu sitisheni hiyo miamala mpaka aseme nn kasomea isije kuwa watu tunapigwa hapa........akisema kasomea nn pengine wadau twaweza mpatia hata ofa ya kazi nzuri zaidi.
Hizo scamming method za kutumia public sympathy nimezishuhudia sana kwa watu wengi. Wewe utawapiga wajinga wenzako, ila wengi huwapati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaahTafuta sponsor wa usafirishaji, wa nywele, wa kodi na kukutoa out weekend. Unakaaje kizembe town.
Azingatie huu ushauri kadogo2Nikushauri kitu? Futa namba yako unajichoresha hamna watuma pesa humu.
Aliye serious atakufata pm kukusaidia
ephen_ nimekaa kwenye matumizi ya internet kwa muda mrefu kidogo kuliko wewe, niamini mimi huyu mtu ni scammer. Kama unafatiliaga visa vyake ambavyo vingi kashavifuta na hata hiki i know atakifuta, you will just land yourself to the same conclusion.Niwakumbushe tu ndugu wajumbe huyu mleta mada alishwah kuja na uzi wa kusema amechoka kuwa SIDE CHICK anataka kuwa MAIN CHICK
Kikubwa ni kutambua kwamba changamoto ni sehemu ya maisha, ili ufanikiwe changamoto haziepukiki. Namna unavyochagua kukabiliana na changamoto hizo ndizo zitatoa uelekeo wa maisha yako.Sijasema kuwa nitadanga wakati mwinginee kila kitu kuna yumba pia nyuma ya biashara ya mtu kuna mengi yanaendelea mimi nina marafiki wanauza chakula ila bado wana danga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shosti s umeambiwa uweke namba au niweke namba yangu? una shida kweli ww?