🙄🙄🙄 Hii course imefika lini TzNdug Hakuna muamala ulioingia kwanza
Nimesoma DS mnaendeleaje ya jamii udsm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄🙄🙄 Hii course imefika lini TzNdug Hakuna muamala ulioingia kwanza
Nimesoma DS mnaendeleaje ya jamii udsm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipi hicho?Kuna kitu unakitafuta...endelea tu
Mjini bila sponsor hutoboi mahi 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiHaya sasa mabaharia kazi kwenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe msenge nae kila siku unakuja na visa vipya, utakuwa mwanaume wewe
Watuma pesa nao wanaulizia lini daftari la wapiga kura linazinduliwa wakijishikize kuandikisha watu 😂 JF kibokooAzingatie huu ushauri kadogo2
Wanaume wameumbiwa mateso, nimekumbuka kitu ila haya maisha bas tyuu.Angekuwa mwanaume mngeanza kumzodoa lakini kwa vile ni mtoto wa kike mafisi yameanza kujifanya yana roho nzuri na yenye huruma baadaye muanze kumsumbua mtoto wa watu!
Mtu mwenye mahusiano hawezi kupata shida kama ya mleta mada?Niwakumbushe tu ndugu wajumbe huyu mleta mada alishwah kuja na uzi wa kusema amechoka kuwa SIDE CHICK anataka kuwa MAIN CHICK
Ahsante kwa kumbukizi ya mleta mada.Niwakumbushe tu ndugu wajumbe huyu mleta mada alishwah kuja na uzi wa kusema amechoka kuwa SIDE CHICK anataka kuwa MAIN CHICK
Huyo lazima awe mwanaume, haha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ephen_ nimekaa kwenye matumizi ya internet kwa muda mrefu kidogo kuliko wewe, niamini mimi huyu mtu ni scammer. Kama unafatiliaga visa vyake ambavyo vingi kashavifuta na hata hiki i know atakifuta, you will just land yourself to the same conclusion.
Ni noumaWatuma pesa nao wanaulizia lini daftari la wapiga kura linazinduliwa wakijishikize kuandikisha watu 😂 JF kibokoo
Hilo la mimi kuwa boya no problem ila kwenye uzi wake kasema yeye kamaliza chuo.Kazi zingine sio mpaka uwe umesomea boya wewe! Labda atakuwa muhudumu wa gesti au yupo kiwandani, nk.
Inategemea na shida yenyewe, moyo huo nilikuwa nao ila walimwengu wa humu humu ndani walininyoosha.Kumtumia pesa mtu sio mchezo jamani
Si ni wewe ulimshauri ale vichwa😁Mungu amzidishie Ila tu asiwe kinyume na kusudio