Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Oooho sawa, nimeelewa ss.
Badooo tu unataka kutafuta x
IMG_20180410_164131.jpg
 
Baba mwenye nyumba ndo kiola kitu, hicho kigari kinaweza pata ajali muda wowote. Nyumba hata ipigwe mafuriko kiwanja kutabaki.
 
Hivi hiyo mvua ikowapi? Kama iko darisalama mbona mnataka kufanya kama imenyesha kote tz...sisi huku mikoani hamna mafuriko wala mvua mambo ni safi na inanyeesha kistaarabu....

Msilete mambo ya nuhu na ndugu zake yalitokea mafuriko huko kwao basi waka assume kama basi dunia nzima kulikua na mafuriko...

Unapotoa habari kua specific
Bora useme wewe yaan kitu kikitokea wanakikuza utasema kime athiri nchi nzima [emoji23] [emoji23] .....
 
Baba mwenye nyumba ndo kiola kitu, hicho kigari kinaweza pata ajali muda wowote. Nyumba hata ipigwe mafuriko kiwanja kutabaki.
Kuna kitu kinaitwa insurance. Cha ajabu magari LAZIMA yawe na insurance ndio yatembee ila nyumba sio lazima ukatie insurance ili uishi.

Napenda kukujulisha asilimia kubwa ya nyumba hazina insurance ndio maana watu wengi huwa vichaa nyumba ikiungua au ikisombwa na mafuriko.

Kwahio hiki kipanya kikigongwa nitasumbuka wiki kadhaa nitapata kingine.
 
Bora useme wewe yaan kitu kikitokea wanakikuza utasema kime athiri nchi nzima [emoji23] [emoji23] .....
Hivi njaa ikitokea huko mikoani ikiandikwa maana yake imeathiri nchi nzima? au kila kiandikwacho jf ni cha nchi nzima?
 
Inategemea wanapita njia gani na hayo magari...huku kwetu wamenasa kwenye tope na magari yao.
 
Back
Top Bottom