Leo ndio tutajua baba mwenye gari ana umuhimu gani..!

Baba mwenye nyumba ndo kiola kitu, hicho kigari kinaweza pata ajali muda wowote. Nyumba hata ipigwe mafuriko kiwanja kutabaki.
 
Bora useme wewe yaan kitu kikitokea wanakikuza utasema kime athiri nchi nzima [emoji23] [emoji23] .....
 
Baba mwenye nyumba ndo kiola kitu, hicho kigari kinaweza pata ajali muda wowote. Nyumba hata ipigwe mafuriko kiwanja kutabaki.
Kuna kitu kinaitwa insurance. Cha ajabu magari LAZIMA yawe na insurance ndio yatembee ila nyumba sio lazima ukatie insurance ili uishi.

Napenda kukujulisha asilimia kubwa ya nyumba hazina insurance ndio maana watu wengi huwa vichaa nyumba ikiungua au ikisombwa na mafuriko.

Kwahio hiki kipanya kikigongwa nitasumbuka wiki kadhaa nitapata kingine.
 
Bora useme wewe yaan kitu kikitokea wanakikuza utasema kime athiri nchi nzima [emoji23] [emoji23] .....
Hivi njaa ikitokea huko mikoani ikiandikwa maana yake imeathiri nchi nzima? au kila kiandikwacho jf ni cha nchi nzima?
 
Inategemea wanapita njia gani na hayo magari...huku kwetu wamenasa kwenye tope na magari yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…