Leo ndio umeonekana umuhimu wa JamiiForums

Leo ndio umeonekana umuhimu wa JamiiForums

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,255
Katika kipindi ambacho watu wameitembea JamiiForums basi ni jana na leo kwa sababu updates zote zinatoka humu na kusambaa kwenye mitandao mingine.

Pia leo ndio umeonekana umuhimu wa kuwa na ID kuna watu walikuwa wanadharau na kusema nitakua nasoma tu mada zinazowekwa bila kusahau kuwa imewekwa limit, sasa leo kaperuzi sana ikafika mahala ikawa mpaka ujirejista ndio uendelee kupata kuhabarika.

UMUHIMU UMEONEKANA
 
Yani wewe ndo umeona leo???? Ulijiunga lini humu??
 
ELUNGATA INVESTMENT.
tunakodisha jf ID's kwa bei nafuu
tunapatikana inbox
 
Back
Top Bottom