Leo ndio umeonekana umuhimu wa JamiiForums

Leo ndio umeonekana umuhimu wa JamiiForums

Hii ya muda sana mbona, ukiwa mpita njia tu unaletewa ki_memo front na kuambiwa unaonekana ni mgeni unatembelea ukurasa wetu fanya usajiri au nk..!
 
Na ukiji rejista leo unakuja kupewa email baada ya uchanguzi kuisha!
 
Katika kipindi ambacho watu wameitembea JamiiForums basi ni jana na leo kwa sababu updates zote zinatoka humu na kusambaa kwenye mitandao mingine.

Pia leo ndio umeonekana umuhimu wa kuwa na ID kuna watu walikuwa wanadharau na kusema nitakua nasoma tu mada zinazowekwa bila kusahau kuwa imewekwa limit, sasa leo kaperuzi sana ikafika mahala ikawa mpaka ujirejista ndio uendelee kupata kuhabarika.

UMUHIMU UMEONEKANA

nilisikia radio one asubuhi kwenye taarifa ya habari wanasema mitandao ya jamii imeathiri sana utendaji wa kamati kuu huko dodoma nadhani ni kweli , afu yule ndorobo sijui mtoto wa kambale eti cyber crime ushuzii wake yule
 
Wote mliochangia hii thread........kuanzia hapa ninapoandika kwenda juu.........mmekuja juzi juzi tu.........2010 kuendelea.........Karibuni sana........bado hamjaielewa vizuri JF..........subirini kampeni zianze............mtafrahi.........
 
Hahahahahaha
 
Sasa kazi kwa Mods wa hakikishe hizi account ziwe active sio kujaza server za jamiiforums kwa leo tu ila wawe wachangiaji na kuiboresha jamiiforums iendele kutusaidia leo kesho na kesho kutwa na hata mpaka mwisho.
 
mod,
jana na leo kuna wastani wa watu wangapi online kwa saa?
 
Ngoja nifungue akaunti nyingine ziwe 2,
Nikipigwa ban natumia tu
 
Wote mliochangia hii thread........kuanzia hapa ninapoandika kwenda juu.........mmekuja juzi juzi tu.........2010 kuendelea.........Karibuni sana........bado hamjaielewa vizuri JF..........subirini kampeni zianze............mtafrahi.........

So What???
 
Mimi ni miongoni ya watu ambayo sikutaka kujisajili kutokana na baadhi ya wadau kuto changia kiustaarabu.
 
Back
Top Bottom