Leo ndo nimegundua kumbe sijui ninachokitaka kwenye mahusiano

MR KUO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
2,678
Reaction score
3,818
Mara nyingi nimekuwa nalaumiwa sana na mabinti ninaokuwa nao kwenye mahusiano kuwa sipendeki,kwa madai kadhaa ikiwemo kuwa sijali na au sionyeshi kama napenda kweli ile upendo wa kuonekana, japokuwa mara zote huwa najitetea kwamba mimi mahaba ya kinjiwa njiwa sijabarikiwa ndo maana hata njia yangu ya kuwapata sio ile ya tongoza tongoza nyingi, shawishi shawishi kadhaa etc.

Ni nakupenda nafatilia fatilia kidogo na tuvishawishi tudogo sana tu basi na huwa situmii rasimali pesa au muda na siku nyingi huku nikiambiwa hapana zaidi ya mara tatu naamini ni hapana kweli naachana nae, sasa kumbe wao ni tofauti wakiona nimepoa wanakuja wenyewe kwa gia zao na automatical mahusiano yanaanzia hapo.

Sasa kwenye mahusano yenyewe tudumu tusidumu sio jukumu langu tena, apate mimba asiwepate ni sawa tu tukianza mahusiano nitafanya hivi na vile kama wapenzi kweli kweli ila siku nikiambiwa ishu za penzi kuisha huwa hata siumii na tunaishia hapo kweli kweli japo sijawahi kuwa na binti wa watu kwa muda mfupi ni miaka kama miwili mitatu ndo penzi linrudi lilipotoka na linaisha bila ugomvi, mara zote naambiwa mimi ndo sieleweki, sina malengo yoyote kwenye mahusiano.

Nilifunga ndoa kabisa na binti wa watu japokuwa ndoa ilikuwa na taabu kadhaa ikiwemo ufeminist ila siku ananiambia kuwa anaondoka nilimpa jibu moja tu sawa nenda na akaenda kweli hadi leo ni mwaka.

Sasa wadau siwezi kuwa na tatizo la saikorojia kweli? Au sijapata mwanamke ninayempenda kwa dhati, maana nahisi kufanya ukatili sana kwenye haya mambo. Nina watoto 5 wote mama tofauti.
 
FB_IMG_1724903453246.jpg
 
Mara nyingi nimekuwa nalaumiwa sana na mabinti ninaokuwa nao kwenye mahusiano kuwa sipendeki,kwa madai kadhaa ikiwemo kuwa sijali na au sionyeshi kama napenda kweli ile upendo wa kuonekana, japokuwa mara zote huwa najitetea kwamba mimi mahaba ya kinjiwa njiwa sijabarikiwa ndo maana hata njia yangu ya kuwapata sio ile ya tongoza tongoza nyingi, shawishi shawishi kadhaa etc.

Ni nakupenda nafatilia fatilia kidogo na tuvishawishi tudogo sana tu basi na huwa situmii rasimali pesa au muda na siku nyingi huku nikiambiwa hapana zaidi ya mara tatu naamini ni hapana kweli naachana nae, sasa kumbe wao ni tofauti wakiona nimepoa wanakuja wenyewe kwa gia zao na automatical mahusiano yanaanzia hapo.

Sasa kwenye mahusano yenyewe tudumu tusidumu sio jukumu langu tena, apate mimba asiwepate ni sawa tu tukianza mahusiano nitafanya hivi na vile kama wapenzi kweli kweli ila siku nikiambiwa ishu za penzi kuisha huwa hata siumii na tunaishia hapo kweli kweli japo sijawahi kuwa na binti wa watu kwa muda mfupi ni miaka kama miwili mitatu ndo penzi linrudi lilipotoka na linaisha bila ugomvi, mara zote naambiwa mimi ndo sieleweki, sina malengo yoyote kwenye mahusiano.

Nilifunga ndoa kabisa na binti wa watu japokuwa ndoa ilikuwa na taabu kadhaa ikiwemo feminist ila siku ananiambia kuwa anaondoka nilimpa jibu moja tu sawa nenda na akaenda kweli hadi leo ni mwaka.

Sasa wadau siwezi kuwa na tatizo la saikorojia kweli? Au sijapata mwanamke ninayempenda kwa dhati, maana nahisi kufanya ukatiri sana kwenye haya mambo. Nina watoto 5 wote mama tofauti.
You need to change mentality, achana na mahusiano fix yourself kwanza
 
Sawa lakini kuna matendo ya hiari na yasiyo ya hiari, sasa kwa maelezo yangu nadhani umeona hata sifanyi makusudi.

Hatufuati hiyari Dogo, tunajitahidi kutenda mema, kusoma vitabu na kumwomba Mungu ili tuwe watu bora!

Mwanaume yeyote anajisikia kutomba kila mwanamke anayemwona, ila tunajizuia na kuweka nidhamu!

Hatufanyi kila tunalojisikia kufanya, tunajitahidi kuyafanya mambo sahihi tu na yenye manufac!
 
Hili neno nimechukua, litanisaidia sana asante mno..
 
Back
Top Bottom