Leo ndo nimegundua kumbe sijui ninachokitaka kwenye mahusiano

Leo ndo nimegundua kumbe sijui ninachokitaka kwenye mahusiano

Haupo peke yako mkuu mwenye hali hyo.....upo kwenye kundi la introvert.

Hizo ni tabia chache tu za hilo kundi (introvert) vzuri ukazisoma ukazielewa,bila shaka humu kuna uzi wake ukielezea hzo tabia.

Ni ngumu sana kwa mwanamke kuishi na mwanaume mwenye hiyo hali....si unajua wanawake wengi wanapenda mapenzi ya njiwa uongo uongo mwingi na siasa.

Sasa akikutana na mtu ambe ni introvert huona kama hapendwai,hajaliwi na sio kwamba apewi vitu muhimu kama mke....ila anataka zile show off,uongo uongo,zile siasa siasa za mapenzi kitu ambacho mwanaume mwenye hii hali hawezi kufanya....au akafanya kwa nadra sana.

Sasa kwa wanawake wa karne hii vichwa maji.....hawana wanachojua kwenye ndoa zaidi ya baby baby sweat love,utapata shida sana.

Cha muhimu leo hao watoto wapatie huduma nzuri.....

Haupo peke yako ata mimi ni introvert....
Afadhari umenitia moyo japo huo uzi nauomba ili niusome ninielewe na kujisaidia.
 
Back
Top Bottom