Leo ndoa ya Dk. Slaa

Leo ndoa ya Dk. Slaa

Kageuka

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
241
Reaction score
59
Wanabodi, nadhani wengi mtakumbuka kuwa taarifa za vyombo vya habari hasa magazeti zilitueleza kuwa ndoa ya Slaa na mchumba wake (Josephine) imepangwa kufanyika Julai 21, 2012 yaani leo hii Jumamosi huko Karatu. Lakini kulikuwa na uingiliaji wa Mhe. Rose Kamili (mke na mzazi mwenzake Dk. Slaa) ambaye alikwenda mahakamani. Lakini licha ya kwenda mahakamani kulikuwa na maelezo ndoa hiyo ni lazima ifanyike. Mwenye updates plse tuleteeni kuhusu kiongozi huyu ambaye tuliona watoto wake na Mhe. Rose wakitambulishwa bungeni wakati bajeti ya wizara ya kilimo ilipokuwa ikisomwa. Tupeni taarifa kuhusu Slaa.
 
Taarifa ya nini au roho inakuuma kusudi 2015 propaganda zenu ziishe kuwa hana mke.
 
Wanabodi, nadhani wengi mtakumbuka kuwa taarifa za vyombo vya habari hasa magazeti zilitueleza kuwa ndoa ya Slaa na mchumba wake (Josephine) imepangwa kufanyika Julai 21, 2012 yaani leo hii Jumamosi huko Karatu. Lakini kulikuwa na uingiliaji wa Mhe. Rose Kamili (mke na mzazi mwenzake Dk. Slaa) ambaye alikwenda mahakamani. Lakini licha ya kwenda mahakamani kulikuwa na maelezo ndoa hiyo ni lazima ifanyike. Mwenye updates plse tuleteeni kuhusu kiongozi huyu ambaye tuliona watoto wake na Mhe. Rose wakitambulishwa bungeni wakati bajeti ya wizara ya kilimo ilipokuwa ikisomwa. Tupeni taarifa kuhusu Slaa.
sasa uliazisha thread ili ukusanye umbeya? Haitangazwi na wameshafunga tokea saa kumi na moja asubuhi ili aweze kuwahi kwenye mkutano wa kuimarisha Chama subiri upate live updates za mkutano
 
Naona mtaji wa Mahimbo wa kujipatia kitu kidogo 2015 umeisha sasa...
 
Mkuu hii ni habari nzuri kama ungeipeleka jukwaa la celebrity,
Hapa jukwaa la siasa si mahala pake
 
Josephine ni mtoto wa mjini, hashindwi kitu. Kibabu lazima kiingie mkenge!
 
Hayo ni mambo binafsi ya Dr slaa..hata akifunga ndoa mia hayatuhusu..sisi tunahitaji busara na uöngozi wake.NAKUHITAJI DR KAMARA WILBROD PETER
 
Josephine ni mtoto wa mjini, hashindwi kitu. Kibabu lazima kiingie mkenge!

hakuna mtu anatarajia la maana toka kwako, JF nafikiri wanajuta sana kukupa nafasi hii, you are a disappointment to jamii forums!!
 
Hiyo siyo ndoa (WEDDING) kama ambavyo wengi wanaita , lugha fasaha ya tukio la leo la Dr. Slaa na Josephine linaitwa kwa lugha ya wenzetu "THE SACRAMENTS OF HOLY MATRIMONY".
 
Teh.ha ha ha ha ...angalia reputation yangu uicompee na yako.
 
Wanabodi, nadhani wengi mtakumbuka kuwa taarifa za vyombo vya habari hasa magazeti zilitueleza kuwa ndoa ya Slaa na mchumba wake (Josephine) imepangwa kufanyika Julai 21, 2012 yaani leo hii Jumamosi huko Karatu. Lakini kulikuwa na uingiliaji wa Mhe. Rose Kamili (mke na mzazi mwenzake Dk. Slaa) ambaye alikwenda mahakamani. Lakini licha ya kwenda mahakamani kulikuwa na maelezo ndoa hiyo ni lazima ifanyike. Mwenye updates plse tuleteeni kuhusu kiongozi huyu ambaye tuliona watoto wake na Mhe. Rose wakitambulishwa bungeni wakati bajeti ya wizara ya kilimo ilipokuwa ikisomwa. Tupeni taarifa kuhusu Slaa.

wewe ya kwako lini?
 
Hiyo siyo ndoa (WEDDING) kama ambavyo wengi wanaita , lugha fasaha ya tukio la leo la Dr. Slaa na Josephine linaitwa kwa lugha ya wenzetu "THE SACRAMENTS OF HOLY MATRIMONY".
Mkuu umekosea, hii inaitwa marriage of convenience
 
Back
Top Bottom