Leo ngoja nivisanue hivi vitoto va Gen Z

Attachments

  • Screenshot_20250804_044623.jpg
    38.7 KB · Views: 28
Hakuna cha vitoto vya gen z , watu hawataki propaganda za kutishana tena , Thibitisha uwepo wa Mungu mueza wa yote .

Ukiongelea hawa madogo wanapiga kazi kiubunifu mno na wanatengeneza pesa mingi kwa mda mfupi kuliko sisi wahenga.
 
Aisee si mnaona sasa hivi vitu hapa. Si nimetoka kuwaambia tabia zao hawa viumbe.
Hapana .naku challenge Tu mkuu maana umefanya observation nzuri Sana ila iko generally Sana..NI kweli maisha yame change mno ila kumbuka yote kwa yote hii ni impact ya Globalization...
 
Kamoja haka hapa. Shenzi kuuliza upuuzi tu. ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก
Nilikutegemea usinge panic Bali unijibu vzr maana NI hoja nzito kuhusu vita tunasemea ustarabu watu wa zamani wamezingua kwenye kuuana siku hizi Bora watu wamestaarabika japo bado vita zipo
 
Nadhani kwa hii Gnz kuna kitu hizi chanjo ziliwafanya binafsi sikupingi nina ka manz ka 2007 aisee kenyewe kana vaa tu nguo za kiume na nikikapa ela ya kununua nguo nzuri za kike kanasema Hakataki mi nakaangalia tu sina time mana sina mpango wa kukaoa nakakura tu.ukweli hivi vitoto haviwazi kabisa yani kama vizombi tu.
 
Naunga mkono yote uliyo yaandika ila hata sisi wazazi tunastahili lawama,

Wazazi wamekua busy sana,hawana habari na malezi ya watoto wao,unakuta Baba anaamini kua kutoa matumizi ya Nyumbani tu ndio malezi,hana habari na wanawe wala kuangalia mwenendo wao wa kitabia au maendeleo yao kielimu,

Pia talaka zimekua nyingi,watoto wengi wanalelewa na single mothers/Single fathers,

Watu wazima wamekua na tabia za kijinga na za kitoto,unakuta hawa wanaoitwa Mashangazi wanatembea na tuvulana tudogo,unadhani huyo mvulana atawaheshimu mashangazi wengine? au kabinti kadogo kanatembea na jitu Baba zima! unadhani huyo Binti ataheshimu wababa wengine? ataamini kua ndio wale wale tu,

Kuna hii issue ya hawa wanao jiita contents creators,unakuta jitu zima linajirekodi likifanya mambo ya kijinga ili tu kupata Likes na followers,unadhani hawa Gen Z watajifundisha nini hapo kwa mtu kama huyo?

Japo kila zama na kitabu chake ila sisi wazazi wa kileo,ndio tunaostahili lawama kabla ya kuwalaumu hao Gen Z.
 
No 7, nilitaka nishangae lisiongelewe hilo, nilikua nashuka na huu mgazeti nilipofika no 7 nikaishia hapo, maana lengo la hii ๐Ÿ“ƒ ni hiyo no 7. Ila ukaona utokee pembeni. Lol

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kazi unayoo.
 
Nimecheka balsa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
kuna kidogo cha 2018 hakitaki nisalimia kinasema chenyewe ni kikubwa sio kitoto ety mi ndio nikasalimie๐Ÿ˜… wakati nakizidi miaka 15
 
Acheni kusingizia gen Z mimi siko kwenye kundi hilo lakini nowadays wazee ndio wanaongoza kwa tabia za kipumbavu umalaya umalaya, rushwa, ulafi wa madaraka na mengine mengi ya kipuuzi.
So hayo mambo yanalenga tabia ya mtu mmoja mmoja mbona kuna madogo wengi wako very smart kuliko wazee wengi tu huku mitaank
 
Nakubalia na wewe. Ila mjadala ni hivi vitoto vya Generation Z, unavionaje,vipo hovyo ama havipo hovyo by majority?
 
Na hiyo inakuhusu wewe shuwain kabisa wewe ๐Ÿ˜‚
 
Inatisha ujue mzee
 
Ni tafrani mzee
 
Hakuna cha vitoto vya gen z , watu hawataki propaganda za kutishana tena , Thibitisha uwepo wa Mungu mueza wa yote .

Ukiongelea hawa madogo wanapiga kazi kiubunifu mno na wanatengeneza pesa mingi kwa mda mfupi kuliko sisi wahenga.
Kwahiyo unavipa kichwa na kuviunga mkono hivyo vi free mason?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ