The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mshamba ulipotelea wapi Mkuu?Sawa, toa ushauri sasa kwa sisi gen z juu ya nini tufanye.
😀😀
Mshamba ulipotelea wapi Mkuu?Sawa, toa ushauri sasa kwa sisi gen z juu ya nini tufanye.
Majukumu yalinibana kidogo...Mshamba ulipotelea wapi Mkuu?
😀😀
Zombie ni wewe mkuu hujioni, yaani unakubalije kuexchange energy na mtu ambaye unaamini kuwa ni nothing hamna kitu(Gen z), hujihurumii weweNadhani kwa hii Gnz kuna kitu hizi chanjo ziliwafanya binafsi sikupingi nina ka manz ka 2007 aisee kenyewe kana vaa tu nguo za kiume na nikikapa ela ya kununua nguo nzuri za kike kanasema Hakataki mi nakaangalia tu sina time mana sina mpango wa kukaoa nakakura tu.ukweli hivi vitoto haviwazi kabisa yani kama vizombi tu.
TunawajuaTupo vilevile
Tusameheni, hatuwezi shindana na wakubwa.Tunawajua
Mie kangu ni ka 2005 kanavaa mitishet ya kiume na suruali ila sasa ni kasafi alafu mkikutana ukikagusa tu utelezi tele.Nadhani kwa hii Gnz kuna kitu hizi chanjo ziliwafanya binafsi sikupingi nina ka manz ka 2007 aisee kenyewe kana vaa tu nguo za kiume na nikikapa ela ya kununua nguo nzuri za kike kanasema Hakataki mi nakaangalia tu sina time mana sina mpango wa kukaoa nakakura tu.ukweli hivi vitoto haviwazi kabisa yani kama vizombi tu.
Labda kwasababu unapiga na kupita ndio maana unaona fresh, subiri kakukoleze ujae kwenye mfumo utake kukaweka ndani ndio utajua haujui.Mie kangu ni ka 2005 kanavaa mitishet ya kiume na suruali ila sasa ni kasafi alafu mkikutana ukikagusa tu utelezi tele.
Mimi usijali ili mradi kananiokoa wakati wa ukame.
Majina tu hayo wazungu analeta kuficha tabia mbovu. Wewe mtu anajitenga unasema ni aina ya personality kama sio ukichaa ni nini?😂Mkuu hiyo namba 8 mbona kama umezungumzia introverts.
Sasa vikiuza vitakwenda kukaa wapi ugenini,hivi titavinyoosha tu bila shaka.Mbona hata sasa ni kama nchi imeuzwa tu, gen z wanasubiri muzeeke wamalize kupiga bei mtakavyosaza. Matatizo ya Gen z hawakuzaliwa nayo mumetengeza nyinyi vizee na hakika watawatesa sana huko mbeleni.