Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
- Thread starter
- #81
Balaa lake ni ukosee uzae nako au ukaweke ndani kama mke,utakuja kuusoma huu uzi tena na kuuelewa mara mbili zaidi.😂 😂 😂 Mkuu yote uliyoandika yanakahusu haka kamchepuko kangu kitoto cha 2005.
Hasa hapo kwenye staili ya uandishi kwenye sms.
Kingine umepatia sana mkuu kwamba usipokatafuta na kenyewe kanakupotezea.
Mi haka kangu kanaweza kukupotezea, ukiona sms yake ujue ni ya kizinga japo vizinga vyake ni elfu 5 au ten basi.
Mie sina tabu nako maana kananiokoa sana nikiwa na upwiru kwa wife kukizingua.
Ila hivi vitoto vitamu balaa, yani mkikutana ni kazi kazi, usipokaa vizuri kinakutoa KO.
Hako kanaweza kukuacha ndani unaumwa kanakwenda kutazama marudio ya tamthiria. Au kanaweza mvutisha mtoto bange ili alale asimsumbue, au kanaweza kuondoka kakaacha nyumba wazi bila kufunga na ukikauliza kakakujibu kuwa "sasa mimi sikudhania kuwa ni vibaya kuacha nyumba wazi,kwani nani ataingia".ni vibwege hivi vitoto aisee acha tu.