Leo ni Birthday ya jina mbumbumbu kwa Simba

Leo ni Birthday ya jina mbumbumbu kwa Simba

Sitokuja kurudia kujenga utani wowote ule wa simba na Yanga na wewe aisee. Siyo kwa matusi haya.
Pale kwenye ile post uliyonijibu yale maneno uliyobold ndiyo ulupojikanyaga, wewe siyo mvumilivu unachokoza mada kisha ukijibiwa vilivyo unapiga mayowe.
 
Lage alikua mwamba kwelikweli yaani aliweza kutamka neno ilo katika mkutano mkuu wa matawi yote na akatoka salama!!,[emoji1][emoji1][emoji1]
Lage ndiyo nani tena? Kweli huko wenye akili ni wawili tu, waliobakia wote ni mataahira
 
Pia leo ni siku ubatizo wa jina lipya la Mapoda Fc.

Siba guvu moya
AC59A8BE-FE96-4ED9-BF13-498C6DB19AF7.jpeg
 
Back
Top Bottom