johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ndiyo nani huyo??Happy birthday RC Paul Makonda!
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama.
Mchango wa Lisu umeshatoa?!Inatusaidia nini sasa.
Cha msingi aitumie siku ya leo kujikumbusha kuwa kama alizaliwa kuna siku atakufa.
Ushaanda ndoo ya maji hpoHappy birthday RC Paul Makonda!
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama.
Mkuu wa mkoa wa Dsm yalipo makao makuu ya Chadema yaani Ufipa!ndiyo nani huyo??
Ndoo zinaandaliwa segerea!
okey hilo sio jina lake ndiyo maana nimeshangaa.Mkuu wa mkoa wa Dsm yalipo makao makuu ya Chadema yaani Ufipa!
Wewe ndio mzazi wake?!okey hilo sio jina lake ndiyo maana nimeshangaa.
Happy birthday RC Paul Makonda!
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama.
Segerea imeingiaje tena na sherehe ya DAB wetu ......Ndoo zinaandaliwa segerea!
weka namba za mchango.Ana 10,000 yake kwangu.Mchango wa Lisu umeshatoa?!
Happy birthday RC Paul Makonda!
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama.
Hahahaa.........!!Segerea imeingiaje tena na sherehe ya DAB wetu ......
Angalia tu leo usile ukawa kama huyu
Ova
View attachment 1023075
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina za wauaji na mauaji - JamiiForumsHappy birthday RC Paul Makonda!
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama.
Nyie hamkawii kwenda na mifuko ya Rambo mkabeba misotojo[emoji23] [emoji23]Hahahaa.........!!
Jaribu kutukana basi kama unaona ni rahisi kihivyo!Umeleta hapa aje atukanwe ama? Huku jukwaani unajua kabisa hana mvuto, lengo lako ni kutaka atolewe kejeli usikie raha. Peleka hii taarifa ikulu, kwenye taasisi za serekali na ofisi za ccm huko ndio kuna wanaomkubali. Hapa ulichofanya ni kama kutangaza siku ya nguruwe msikitini eti kisa kitimoto inapendwa na watu fulani.