Leo ni birthday ya Paul Makonda mkuu wa mkoa wa Dsm

1550216755470.png
 
Happy birthday RC Paul Makonda!

Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama.

Umeleta hapa aje atukanwe ama? Huku jukwaani unajua kabisa hana mvuto, lengo lako ni kutaka atolewe kejeli usikie raha. Peleka hii taarifa ikulu, kwenye taasisi za serekali na ofisi za ccm huko ndio kuna wanaomkubali. Hapa ulichofanya ni kama kutangaza siku ya nguruwe msikitini eti kisa kitimoto inapendwa na watu fulani.
 
Jaribu kutukana basi kama unaona ni rahisi kihivyo!
 
Back
Top Bottom