Leo ni Birthday ya Sultan wa Zanzibar

Leo ni Birthday ya Sultan wa Zanzibar

Huwa inaadhimishwa kila mwaka kama sikukuu ya Sultani Jamshid wa Zanzibar.

Kama ulikuwa hujui basi jua kuanzia leo
Mungu ambariki, ila pia sio vibaya tukijikumbusha kuwa
1. Mosi - baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Waarabu hawakufukuzwa bali walikimbia wenyewe, hata Sultan hakufukuzwa, amekimbia mwenyewe, na yuko Uingereza. Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

2. Baada ya kifo cha Karume, huyu Sultan alifurahia na kusherekea... Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe...

HBD Sultan of Zanzibar

P

Tena wakati wa uchaguzi anaongeza nguvu kazi ya kura kutoka Bunjumbura.
Hii ndiyo shughuli pevu aliyofanya Sultan(Tanzania bara) huko Zanzibar wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020 in case ulikuwa haujui👇
AIGRbs.jpg
 
Hii ndiyo shughuli pevu aliyofanya Sultan(Tanzania bara) huko Zanzibar wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020 in case ulikuwa haujui👇
View attachment 1909509
Wakati Sultan Bara anachukua madaraka Zanzibar, Dubai walikuja kufanya shopping Unguja. Sasa karibu duniani kote wanakwenda Dubai shopping au holiday.
 
Mungu ambariki, ila pia sio vibaya tukijikumbusha kuwa
1. Mosi - baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Waarabu hawakufukuzwa bali walikimbia wenyewe, hata Sultan hakufukuzwa, amekimbia mwenyewe, na yuko Uingereza.

2. Baada ya kifo cha Karume, huyu Sultan alifurahia na kusherekea...

HBD Sultan of Zanzibar

P

Kweli mfalme hakufukuzwa lakini Militia walikuwa njiani kwenda kumchukuwa.
Ulitaka angoje mpaka akamtwe halafu na kwenda kumdhalilisha.

Ni kweli waarabu na wahindi hawakufukuzwa walikimbia wenyewe, ulitaka ya wakute kama yalivyo wakuta wengi tuu.
Kuchinjwa, kubakwa na mateso mengi yaliwakuta . Wanajulikanwa wote walo uliwa siku hiyo na siku zilofuata baadae.
Watu wanavunjiwa nyumba zao na kuporwa vitu vyote nakuwabaka na kuwachinja na kuuwa.

Halafu wewe unaita mapinduzi haya matukufu haya ni machafuzi.
Watu wengi wameuliwa baada ya tarehe 12 January. Ulitaka wasikimbie wangoje kuuliwa?

Niieleze kwa nini imechukuliwa Familia ya yule jamaa aliefanya mauaji. Usiku uleule

Angalia Afghanistan hakuna aliefukuzwa lakini wabaki wakati Talliban washachukuwa nchi. Hofu na wasiwasi ndio inayo wafanya watu wakimbie.
 
Halafu wewe unaita mapinduzi haya matukufu haya ni machafuzi.
Mkuu amanij , sio mimi ndiye ninayaita Mapinduzi ya Zanzibar kuwa ni Matukufu, bali hill ndilo rasmi la Mapinduzi ya Zanzibar yanaitwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar!.
P
 
Mungu ambariki, ila pia sio vibaya tukijikumbusha kuwa
1. Mosi - baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Waarabu hawakufukuzwa bali walikimbia wenyewe, hata Sultan hakufukuzwa, amekimbia mwenyewe, na yuko Uingereza.

2. Baada ya kifo cha Karume, huyu Sultan alifurahia na kusherekea...

HBD Sultan of Zanzibar

P

Si nasikia viongozi wakaanza kujitwalia 'kubaka' wanawake wa kiarabu? Hapo unakimbia bila kukimbizwa.
 
Si nasikia viongozi wakaanza kujitwalia 'kubaka' wanawake wa kiarabu? Hapo unakimbia bila kukimbizwa.
It's true hili lilifanyika, ila ni ili kulipa kisasi cha mambo haya ambayo Mwarabu aliwatenda
P
 
Back
Top Bottom