Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Leo tunapoandimisha siku hii, hakuna ubaya pia tukikumbushana haya...Huwa inaadhimishwa kila mwaka kama sikukuu ya Sultani Jamshid wa Zanzibar.
Kama ulikuwa hujui basi jua kuanzia leo
Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama
Wanabodi, Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo mbambali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii vikiwemo viwanda, miundombinu, maendeleo ya kilimo, ila pia...