Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy Birthday, Katy Perry!.wakuu nipongezen basi kwa kutimiza miaka ishirini kadhaa ya kuzaliwa kwangu..na wenye tuzawadi mnizawadiepo..hata m pesa napokea
Kumwambia 'happy birthday' inasaidia nini??..... Anataka feza, hela, pesa, mkwanja!Happy Birthday..
haha ni wa kiume huyo na analilia bday wisheskizazi cha mandazi na kalimati bhaanaa
kizazi cha mandazi na kalimati bhaanaa
Kumwambia 'happy birthday' inasaidia nini??..... Anataka feza, hela, pesa, mkwanja!
haha ni wa kiume huyo na analilia bday wishes
paka chongo hiyo avatar yako sjaielewa?Nipe no yako nione nafanyaje