leo ni happy barth day ya mungu wa wakiristo

PUFF DADDY

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2024
Posts
391
Reaction score
803
kamatunavyo jua wakiristo wanadai yesu ni mungu naleo inasemekana ndio siku aliozaliwa yesu

naleo wakiristo wanasherehekea barth day ya yesu

mimi sinamengi yakusema zaidi yakuwatakia herí ya siku yakuzaliwa kwa mungu wao yesu kiristo mwana wa mama Maria (bikra)

sikukuu njema wadau😁😁
 
Barth= Birth.
Birthday.
 
Demi mke wangu nilikuambia ule ufunguo wa store ya pombe uufiche!, ona sasa watoto wameshaingia wameanza!!.
Nilienda kanisani nikasahau kuficha funguo. Sa itakuaje ?😅😅. Waache tu walewe bana
 
wao kuna fimbo yao, yakwako unajua utaikuta wapi ili sikunyengine usisahau!
 
haya njoo tulewe basi
Screenshot_20241023_172809_com.android.gallery3d.jpg
 
Back
Top Bottom