Leo ni harusi ya Sugu mbunge wa Mbeya Mjini

Leo ni harusi ya Sugu mbunge wa Mbeya Mjini

hopaje

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
1,726
Reaction score
1,218
Mbunge wa mbeya mjini leo kafunga ndoa kanisa katoliki rwanda mbeya mjini
IMG_0318.JPG
IMG_0319.JPG
 
Hongera kwa kuingia rasmi kwenye taasisi ya ndoa..
 
Ka zini weeeeeeee sasa kaona enough acha nitulie..

Faiza leo anavuta zake bangi...mtu ajichanganye aone kitachomkuta
 
Kama namuona faiza anavyosonyasonya

Kila la kheri kwao
 
Back
Top Bottom