Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

Chrispin,

Nimeisoma hii posts zaidi ya mara ishirini... hakuna cha kuongeza wla kucomment... Nuff said bro!!!

the post is unique, moral, respective, encouraging, healing, inspiring, educative, reminder, blessing, praising, delighting, exciting... you name it!!!

Surely women are jewels in our lives!!! I dedicate January 2010 for all the women who live with all our sh!ts day in day out bila kuchoka

Thanks pal! Lets put our hands together for women! Ahsante kwa kuisoma post mara ishirini, ni heshima tosha kwa wanawake!
 
Mziwanda acha ubishi weye!

Mtoa mada kaleta vigezo kwenye thread ambavyo ndo kama basis ya hoja yake, sasa wewe unapoongelea masuala ya utegemezi wa mwanamke, hiyo ni sredi mpya unafungua, na tumeambiwa tusiende off-topic!...stuka!

Afadhali umesema wewe PJ, manake ningesema mimi wangejua zee la masihara hili! Lakini kwa wanawake kwenye thread hii niko kimaadili zaidi!
 
De Novu..
Nashukuru kunisaidia kuweka maneno ya kufaa katika thread ya ndugu yetu Chrispin.... hata mimi nilianza kwa kuangalia kichwa cha thread nika pita bila kusoma zaidi ya mara ishirini maana nilihisi ni mzaha wa huyu mtani wangu LOL.
Nilipoamua kusoma I was speechless!
Chrispin deserves a standing ovation!

Hahaha! WOS bana! Nilikuwa nashangaa sikuona koment yako.
At least nimekusoma hapo kwenye blue! LOL! Kumbe? Hahaha! Haya bana!
Hapo kwenye read: I dedicate the standing ovation to ALL WOMEN especially my MOM, WIFE, 2 DAUGHTERS and ofcourse all women in JAMII FORUMS.
 
I wish JF tungekuwa tunatoa medals or special awards kwa posts za namna hii... i would have nominated this one!!!

Posts like these have therapeutic activities in the hearts of others

Thanks pal! And i would have dedicated it to all Women!
 
You Can Say That Again! And everything good!

Chrispin, Xpin, Iribini, Meku Iribini Jr., Pako, Biggy.........you just so very much great!!!! I will kiss u privately!!!!
 
Kuna mama amejifungua mtoto kamweka mwenye mfuko wa plastic na kumweka kando kando ya barabara na ameweka jiwe juu wasamalia wema walio kuwa wakipita barabarani wamesikia kichanga kinalia wamekibeba na kukimbiza hospital hapa ndo iwa napata hasira ngoja ninyamaze.
 
''...Don't drink n drive?Dah!
Mi nadraiv then na drink.Then na draiv tena.Afu nadrinki......HIvyohivyo mpaka naingia bed!..''
 
Chrispin, Xpin, Iribini, Meku Iribini Jr., Pako, Biggy.........you just so very much great!!!! I will kiss u privately!!!!

Hahaha! Am eagerly waiting for the kiss! Don forget I prayed for you Yesterday!
 
''...Don't drink n drive?Dah!
Mi nadraiv then na drink.Then na draiv tena.Afu nadrinki......HIvyohivyo mpaka naingia bed!..''

Hahaha! Straight mpaka mikononi mwa Matesha wangu! Drunk! but she smiled and said goodnight dady! She is a woman don forget! I luv her!
 
Hahaha! Am eagerly waiting for the kiss! Don forget I prayed for you Yesterday!

kupitia TBC1 ukiwa baa unakunywa thupu!!!! hahaaa senks!!!! nakupenda more than you do to me!!!!
 
Kuna mama amejifungua mtoto kamweka mwenye mfuko wa plastic na kumweka kando kando ya barabara na ameweka jiwe juu wasamalia wema walio kuwa wakipita barabarani wamesikia kichanga kinalia wamekibeba na kukimbiza hospital hapa ndo iwa napata hasira ngoja ninyamaze.

Hayo yote yanasababishwa na mabaradhuli sisi wanaume. Mwanamke anayefikia hatua hiyo lazima ujue kajitahidi imefikia mahali anashindwa afanyeje. At least hajakaua, alikuwa ana uwezo wa kukaua tangu kalipokuwa tumboni!
 
very truuu!!! Fidel80 chunguza utabaini!!!
 
kupitia TBC1 ukiwa baa unakunywa thupu!!!! hahaaa senks!!!! nakupenda more than you do to me!!!!
Red: At least electronics inasaidia! Something is better than nothing!
Blue: I can prove you wrong! The opposite is the truth!
 
Back
Top Bottom