......Afanye vyote lakini hilo la kumfumania live na mwanamke mwingine noooooooo!!! Dunia yenyewe ya leo magonjwa nje nje ni big nooooooooo!!!!
Chrispin,
Nimeisoma hii posts zaidi ya mara ishirini... hakuna cha kuongeza wla kucomment... Nuff said bro!!!
the post is unique, moral, respective, encouraging, healing, inspiring, educative, reminder, blessing, praising, delighting, exciting... you name it!!!
Surely women are jewels in our lives!!! I dedicate January 2010 for all the women who live with all our sh!ts day in day out bila kuchoka
Mziwanda acha ubishi weye!
Mtoa mada kaleta vigezo kwenye thread ambavyo ndo kama basis ya hoja yake, sasa wewe unapoongelea masuala ya utegemezi wa mwanamke, hiyo ni sredi mpya unafungua, na tumeambiwa tusiende off-topic!...stuka!
De Novu..
Nashukuru kunisaidia kuweka maneno ya kufaa katika thread ya ndugu yetu Chrispin.... hata mimi nilianza kwa kuangalia kichwa cha thread nika pita bila kusoma zaidi ya mara ishirini maana nilihisi ni mzaha wa huyu mtani wangu LOL.
Nilipoamua kusoma I was speechless!
Chrispin deserves a standing ovation!
I wish JF tungekuwa tunatoa medals or special awards kwa posts za namna hii... i would have nominated this one!!!
Posts like these have therapeutic activities in the hearts of others
Thanks pal! And i would have dedicated it to all Women!
You Can Say That Again! And everything good!
Chrispin, Xpin, Iribini, Meku Iribini Jr., Pako, Biggy.........you just so very much great!!!! I will kiss u privately!!!!
''...Don't drink n drive?Dah!
Mi nadraiv then na drink.Then na draiv tena.Afu nadrinki......HIvyohivyo mpaka naingia bed!..''
Hahaha! Am eagerly waiting for the kiss! Don forget I prayed for you Yesterday!
🙄......
Kuna mama amejifungua mtoto kamweka mwenye mfuko wa plastic na kumweka kando kando ya barabara na ameweka jiwe juu wasamalia wema walio kuwa wakipita barabarani wamesikia kichanga kinalia wamekibeba na kukimbiza hospital hapa ndo iwa napata hasira ngoja ninyamaze.
very truuu!!! Fidel80 chunguza utabaini!!!Hayo yote yanasababishwa na mabaradhuli sisi wanaume. Mwanamke anayefikia hatua hiyo lazima ujue kajitahidi imefikia mahali anashindwa afanyeje. At least hajakaua, alikuwa ana uwezo wa kukaua tangu kalipokuwa tumboni!