very truuu!!! Fidel80 chunguza utabaini!!!
kanapatikana hapa na nimekatumia ipasavyoAfu kale kadude kanakokosekana kwenye nokia?
Kha!!! mweh ngoja nifanye kautafiti nammimba mmoja then utafiti unaanzia hapo.
kha!!! Mweh ngoja nifanye kautafiti nammimba mmoja then utafiti unaanzia hapo.
......!:d:d:dkiongozi xpin hii thread iko makini na imekwenda shule!!,nashukru umelitambua hilo na kulileta hapa ili hawa wenzako wajue njisi tulivyo there for them,katika hali yoyote,thanks again kwa kutuweka juu!!
hebu nidodsee huo utafiti ni kwamba utadunga mtu mimba afu umtose kisha uone reaction au utafanyeje?????
Kiongozi Xpin hii thread iko makini na imekwenda shule!!,nashukru umelitambua hilo na kulileta hapa ili hawa wenzako wajue njisi tulivyo there for them,katika hali yoyote,Thanks again kwa kutuweka juu!!
nimeona senk yuu!!Good question! You Got awa fevarabo thing there!
we are tokn of smone's life hapo!!!! afadhali kweli asijaribu huo ni uharibifu!!!you better not.............!
Thanks again kwa kutuweka juu!!
anything wrong with that b?!
yes!................ wivu tuuuuu! Lol!
Nashukuru kwa kulitambua hilo.
Lakini nakuomba uendelee kuelewa baba ndo kichwa cha familia.
maanake nin?I will assist you counting your blessings! Well said mamushka!
we are tokn of smone's life hapo!!!! afadhali kweli asijaribu huo ni uharibifu!!!
CHANA NYWELE HATA KAMA UNA KIPARA
......!ππdah!
Hawa malaika hawajawahi kulikataa hili; kwamba baba ni kichwa cha familia? wanalijua, wanalikubali wanaliheshimu, na wanalitekeleza tena kwa vitendo!