Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

Uharibifu kutupa ****** kiumbe kisicho nahatia lakini si utafiti bht kwani kuna ubaya???
with someone's life?.......
NAH!

jaribu ''kuvaa'' uhusika wa hicho kiumbe kinachofanyiwa utafit...
 
Hehehe mpwa wapo akina MJ1 na Nyamayao wanalikataa hili kata kata.

Ngoja watajibu wenyewe! Tutawaanzishia thread yao! Wanawake wenzao watawacheka!
 
with someone's life?.......
NAH!

jaribu ''kuvaa'' uhusika wa hicho kiumbe kinachofanyiwa utafit...

Huyu jana alimix ile kitu. Naona kaamka nayo. LOL!
 
Napenda sana utafiti nianzie kwako sijui utaniruhusu?? maana itwakuwa man 2 man au sio bht?
mimi mamushka hasa ndo untaka utafitie kwangu....??? well lemme tell u that u might be tired of ur own life, pili mimi si that kind wa kutest (not experimental), watch out you might end up being tested yourself kijana....
 
with someone's life?.......
NAH!

jaribu ''kuvaa'' uhusika wa hicho kiumbe kinachofanyiwa utafit...

mwache ajifurahishe nafsi Fidel80.....

kwa bht you cant even dream of that.....
 
mimi mamushka hasa ndo untaka utafitie kwangu....??? well lemme tell u that u might be tired of ur own life, pili mimi si that kind wa kutest (not experimental), watch out you might end up being tested yourself kijana....

Hahaha! I wish ningejua unamaanisha nini hapo kwenye bold! Mwanamke mkali wewe! LOL
 
the damn thread iz still PIMPING!lolz
 
kama kina uwezo juu ya ule wa Mungu wa Ibrahim na Yakobo na Isaka, nenda!!!! bt be careful

Bht umewahi ona mtu anatundika koti hewani?
Kitu kikijibu natangaza Ndoa hapo kanisani.
 
i can feel THEM POWERZ
I LIKE THEM LADIEZ
i can feel them MAMAAZ

i respect HER MY HONEY
yaaah yaah!

You GOT my thanks for this useful post!
Respect to ALL WOMEN!
Asetaka asitake,
Kina mama mwakemwake,
Tutafanya mishemishe,
Matatizo yawaishe,
Sifa zao wazipate,
Nia zao zisigote,
Daima waende mbele,
Mpaka juu ya kilele.
..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…