........Mama kweli anastahili sifa, mie mwenyewe nampenda mama yangu kuliko. Kuwa mama raha jamani, utapendwa na watoto wako daima. Natamani kuwa mama, hebu ngoja nijitahidi nipate mtoto niitwe mama.
Hongereni wanawake wenzangu wa JF mliokuwa tayari mama.
xoxoxo
hapa ndo tunajifunza kwamba kumbe samtaimu jasiri anaacha asili.Chrispin kama kungekuwa na namna ya kugonga thanx mara nyingi leo nisingeongea ni thanx tu............mpwa kumbe ukitulia unamwaga vyoint eh? Aksante sana
Ana heri mwanamke uliyemuoa
Ana heri dada yako
Ana heri mama yako
Tuna heri wanawake woooote tuliobarikiwa kuwa karibu yako (hata ki -electronika)
...........Thanks Xpin, weekend hii ndio imeanza, tulia na mkeo nyumbani baba huku ukitafakari hii thread. Ngoja mie niingie class hapa.Currently Active Users Viewing This Thread: 26 (14 members and 12 guests) Chrispin, Bao3, bht,carmel+, Glucky, Jeni, klorokwini, Lily Flower, Next Level, Preta, Pretty, Shishi, SMU
Wenye heshima zao wako hapa! Pokeeni heshima zenu nyie wote!
nimesoma kwa shida sana kuanzia form one,
miaka ile ada ikiwa ni laki tatu kwa mwaka ni kubwa sana.....
lakini MAMA alihakikisha anakopa hela ili mradi niende shule
AHSANTE SANA MAMA!
WANAWAKE HOYEEEE
hahaaa, SENKSI zako adimu sana:, ila hapa naona sio uongo:Leo hakuna ofu topic, atakayeteleza anakula ban! Hahaha! Umekula senksi zangu nyingi sana leo!
The Following 20 Users Say Thank You to Chrispin For This Useful Post: Remove Your Thanks bht (Today), Bujibuji (Today), carmel (Today), FirstLady1 (Today), Geoff (Today), George_Porjie (Today), JS (Today), klorokwini (Today), Lily Flower (Today), MjasiriamaliShupavu (Today), MwanajamiiOne (Today), Ngongo (Today), Nguli (Today), Preta (Today), Pretty (Today), Prodigal Son (Today), Shishi (Today), SMU (Today), Soulbrother (Today), Sumbalawinyo (Today)
yaaaaa!You are who you today are because of her
I am who I am today because of my mother!!!!
thanks to all mothers jamani!!!!! (wakati mwingine u cant find even the right word to express ur feeling and u end up shadding tears)......
........Mama kweli anastahili sifa, mie mwenyewe nampenda mama yangu kuliko. Kuwa mama raha jamani, utapendwa na watoto wako daima. Natamani kuwa mama, hebu ngoja nijitahidi nipate mtoto niitwe mama.
Hongereni wanawake wenzangu wa JF mliokuwa tayari mama.
xoxoxo
yaaaaa!
bht nimekukubali
tupo kwenye ze same path
infact asingekuwa MSHIKI ningeleta proposal ya ndoa hapo kwenu!...
He better remember the song br R.Kelly, "when a woman is fed up"DUh!! leo sijui kaamkia upande upi??? mmmmm haya we!! lakini pia ujue kwa sababu ya hayo yoote uliyoyataja ya kusamehe and kuvumilia...iko siku ufika ikatosha!!! and when we get fed up...u dont want to be anywehre near
hehehehe!tusubiri Pope anaweza kufanya amendment ya sheria za ndoa.....(sitajali kuwa wapili)
tusubiri Pope anaweza kufanya amendment ya sheria za ndoa.....(sitajali kuwa wapili)
halafu wewe siku hizi umekuwa mvivu sana kuchangia mada,WE UNAZISOMA TUmwaaaah! (sioni kabatan ka makiss) ....hapo kwa Pope..sijui kama itakuja anytime soon....lakini vyote vyawezekana..ikishindikana tutarasimisha tu hapo kwen red
True kabisa, we always give first priority to kids, yani hata kama umelala usiku ukasikia tu kilio kidogo cha mtoto unajump kama umeumwa na nyuki, that is motherly love, nothing to compare to it. I am very proud to be a mother, to nurture a human being is such a valuable feeling.thanks Pretty mie nina ka baby ka kike kila siku natamani nikataje sehemu yoyote ninapokuwa ...jinsi ninavyofeel kuwa nako na kukatunza
harafu nikwambie nilipokuwa kadadaaa kama wewe yaani hizi catalogue hazikatizi mbele yangu lakini sasa kila nionancho kiwe kizuri vip naanza kuwaza kwanza mtoto wangu si mimi tena
Mwacheni mama aitwe mama ...
hata kwa wale ambao hawajabahatika kupata watoto mungu awajaalie heri
thanks Pretty mie nina ka baby ka kike kila siku natamani nikataje sehemu yoyote ninapokuwa ...jinsi ninavyofeel kuwa nako na kukatunza
harafu nikwambie nilipokuwa kadadaaa kama wewe yaani hizi catalogue hazikatizi mbele yangu lakini sasa kila nionancho kiwe kizuri vip naanza kuwaza kwanza mtoto wangu si mimi tena
Mwacheni mama aitwe mama ...
hata kwa wale ambao hawajabahatika kupata watoto mungu awajaalie heri
True kabisa, we always give first priority to kids, yani hata kama umelala usiku ukasikia tu kilio kidogo cha mtoto unajump kama umeumwa na nyuki, that is motherly love, nothing to compare to it. I am very proud to be a mother, to nurture a human being is such a valuable feeling.
hehehehe!
hapo mimi ndipo ninapowakubaligi WANAWAKE!
AHSANTENI SANA WANAWAKE
mwaaaah! (sioni kabatan ka makiss) ....hapo kwa Pope..sijui kama itakuja anytime soon....lakini vyote vyawezekana..ikishindikana tutarasimisha tu hapo kwen red
halafu wewe siku hizi umekuwa mvivu sana kuchangia mada,WE UNAZISOMA TU
Alikuwa partenity leavesafi sana klorokwin
ulikuwa wapi?