Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
Nawaheshimu sana wanawake wa zamani babu yangu alioa wake 3 ili adumumishe mila wote walikaa nyumba moja na walipika pamoja ila walila vyumba tofauti babu alikuwa ana rotate kulala akizidisha siku chumba kimoja ilileta manung'uniko. Sijui kama wanawake wa kileo wanaweza vumilia.
Hii inahitaji thread inayojitegema: Wanawake wa zamani vs wa sasa!! 🙂 Ni mtazamo tu!