Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

Nawaheshimu sana wanawake wa zamani babu yangu alioa wake 3 ili adumumishe mila wote walikaa nyumba moja na walipika pamoja ila walila vyumba tofauti babu alikuwa ana rotate kulala akizidisha siku chumba kimoja ilileta manung'uniko. Sijui kama wanawake wa kileo wanaweza vumilia.

Hii inahitaji thread inayojitegema: Wanawake wa zamani vs wa sasa!! 🙂 Ni mtazamo tu!
 
deh deh deh! huyu ekzoskeleton ana mapointi ya kushtukizia kweli! he he he . imetulia hii.
 
Hii inahitaji thread inayojitegema: Wanawake wa zamani vs wa sasa!! 🙂 Ni mtazamo tu!
UTAPIGWA SERVER BAN.
ila wanawake wa zamani wako juuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!.
 
Hii inahitaji thread inayojitegema: Wanawake wa zamani vs wa sasa!! 🙂 Ni mtazamo tu!

Hapo patamu mpwa!!! hawa wa siku hizi ni wizi mtupu tunaibiana tu nakumbuka Babu alitaka aongeze wa 4 mke aliitisha kikao kwa bibi wote kuwa anataka aongeze kifaa cha 4 kidogo kidogo walimkatalia kwa kuhofia usalama wao ktk penzi maana atalowea huko kwenye kifaa kipya kidogo.
 
we men get our strength in women (kwa my wife wetu)........what about dem unmarried men (kwa vihudumu vya ........bar?---)
 
Hivyo vi unmarried dem vinanguvu nasikia kuliko wife home na vina yumbisha baba lizima.
 
we men get our strength in women (kwa my wife wetu)........what about dem unmarried men (kwa vihudumu vya ........bar?---)
hehehehe!
unapateje strengsi?
wote si wanawake?
acha kumtania georgieporgie bana....!😀
muache aendeleze libeneke
 
we men get our strength in women (kwa my wife wetu)........what about dem unmarried men (kwa vihudumu vya ........bar?---)

We have our own strength and life goes on, tofauti ni kwamba labda nyie mliooa mna additional strenght from your wives! LABDA!!!
 
We have our own strength and life goes on, tofauti ni kwamba labda nyie mliooa mna addtional strenght from your wives! LABDA!!!
hahaha!
adisheno strenssi itoke wapi ndugu yangu?
BTW:kumbe hujaoa?unasubiri nin?fanya makeke TULE MPUNGA BANA
 
Back
Top Bottom