Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua uamuzi utakaouchukua si sahihi na wala hautajenga. Si uamuzi sahihi kwa mwanamke jasiri na mwelewa! Mna watoto lets say watano, utasema bye na watoto waparanganyike? Lakini hilo halijanitoa kwenye kukupa heshima yako! I salute you Pretty! Be a good girl!
kwakweli mama ninyi sio wajinga!......Ndio hapo mnapotufanyaga wanawake wajinga, mtu anakuvumila fujo zako zote, vituko vyako vyote.Itafika kipindi mwanamke huyu atachoka na kusema no. Unaletewa ukimwi ndani ya nyumba kwa ajli ya ujasiri na uelewa............mhhhhh hapo ni no.
Hata kwenye bible imeandikwa mnaweza kuachana iwapo mmoja wenu kafanya dhambi ya uzinzi.
HEHEHEHE!Mshiki namkubali! Kamwambie namheshimu sana eti! Likewise to my mama Matesha: Jeny asingekuwa ndani ya familia kama si uelewa wake!
Wifi alikukubali na binti maana alimkuta sasa kahangaike upate mwingine after 13/02 uone moto wake.YAAAH MAAN!
MSHIKI ALINIKUBALI NA BINTI YANGU sote kwa pamoja!....
love to all women
HEHEHEHEHEHE!deh deh deh! kaka krispini walikutoa mbio gesti nini usiku wa jana?
beki to ze topik: i love mai waifu kuliko US dollar
kwakweli mama ninyi sio wajinga!
MIMI NINAWAHESHIMU WANAWAKE KULIKO MTU ANAVYOWEZA KUFIKIRIA.....
it is my mom who made MY LIFE!.....
hehehe!Wifi alikukubali na binti maana alimkuta sasa kahangaike upate mwingine after 13/02 uone moto wake.
ni ngumu sana kuamini haya maneno!Mi nina wasi wasi na kitu kimoja tu..hii kitu kweli imetoka kwa mtu wa valuer na serengeti? nabii atatoka kweli nazareti? si tunamfahamu huyu? mchumbawe si huyu nani hii hapa na wapwa zake si ndio kina Fidel80 Geof, PJ, na mabinamu kina bht, naniliu (sijui ako wapi), kina Aninna, Shishi, MJ1, na wengineo?
HUYU AMEPATA WAPI HEKIMA HII?
Whaaaaaaaaaaaaaat?Mi sijui ningekuwa wapi kama si mama! Nakumbuka mzee ili kumwona ilikuwa lazima nimlie taiming ya kufa mtu. Asubuhi nadamka naweka kituo mlango wa chumba cha madingi.Akidamka Namlilia shida zangu ndo kinaeleweka! Muda aliokuwa anarudi ni Mama ndio anajua! Like wise to Matesha wangu, naweza kata siku tatu sijamwona! Halafu nani anasema mwanamke si wa kuheshimika?
deh deh deh! kaka krispini walikutoa mbio gesti nini usiku wa jana?
beki to ze topik: i love mai waifu kuliko US dollar
yaaaaaahh!tribute to all women out there huh!
deh deh deh! kaka krispini walikutoa mbio gesti nini usiku wa jana?
beki to ze topik: i love mai waifu kuliko US dollar