Leo ni Hukumu ya kesi ya Yanga Vs Morrison

Kama sijakosea hii kesi haisikilizwi leo Bali inafanyiwa hukumu mana pande zote mbili zilikubaliana kukusanya ushahidi na kuwasilisha CAS hivyo CAS watahukumu kutokana na hizo evidences. Kwa maana hiyo CAS walishapitia huo ushahidi na Leo ni hukumu
kidunula1 #Repost from @yangasc

Mahakama ya kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) leo imemaliza kulisikiliza kesi ya rufaa ya Klabu ya Yanga dhidi ya Bernard Morrison.

Mara baada ya kumalizika kusikilizwa kwa kesi hiyo, CAS itatoa uamuzi kwa mujibu wa taratibu zake kuanzia sasa mpaka tarehe 24/08/2021.

Uongozi wa Yanga unawaomba Wanachama, Wapenzi na Mashabiki kuwa na subira, wakati huu ambapo Mahakama hiyo inaendelea kukamilisha uamuzi wake.
 
Leo si siku ya hukumu. Leo shauri litasikilizwa na baada ya hapo litapangiwa siku ya hukumu.
 
Imeisha hiyoooo,chezea Mo wewe,kwani hao CAS wanabei ghali kuzidi Lozi Lozi!
 
Morrison ni mchezaji asiye na shukrani hata kidogo! Ana tabia nyingi zinazo fanana na za Hajji Manara!

Kiukweli naombea tu atiwe hatiani na hivyo kupata adhabu kali.
 
Morrison ni mchezaji asiye na shukrani hata kidogo! Ana tabia nyingi zinazo fanana na za Hajji Manara!

Kiukweli naombea tu atiwe hatiani na hivyo kupata adhabu kali.
Ombea mtu mema siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…