daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Unasikia wapiNaskia huyu mla bange kakiona cha moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasikia wapiNaskia huyu mla bange kakiona cha moto
kidunula1 #Repost from @yangascKama sijakosea hii kesi haisikilizwi leo Bali inafanyiwa hukumu mana pande zote mbili zilikubaliana kukusanya ushahidi na kuwasilisha CAS hivyo CAS watahukumu kutokana na hizo evidences. Kwa maana hiyo CAS walishapitia huo ushahidi na Leo ni hukumu
Umesikia wapi na kwa naniHata mimi nimesikia, Jaji amesema Mkataba kati Yanga na BM3 ulikuwa halali. Hivyo, BM3 ameshindwa kesi.
Imeisha hiyoooo,chezea Mo wewe,kwani hao CAS wanabei ghali kuzidi Lozi Lozi!kidunula1 #Repost from @yangasc
Mahakama ya kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) leo imemaliza kulisikiliza kesi ya rufaa ya Klabu ya Yanga dhidi ya Bernard Morrison.
Mara baada ya kumalizika kusikilizwa kwa kesi hiyo, CAS itatoa uamuzi kwa mujibu wa taratibu zake kuanzia sasa mpaka tarehe 24/08/2021.
Uongozi wa Yanga unawaomba Wanachama, Wapenzi na Mashabiki kuwa na subira, wakati huu ambapo Mahakama hiyo inaendelea kukamilisha uamuzi wake.
NAWATAFUNA Ni swala la muda tu mkuuImeisha hiyoooo,chezea Mo wewe,kwani hao CAS wanabei ghali kuzidi Lozi Lozi!
Mo anahela gani za kuhonga FIFA, hiyo 20bil kuilipa anapata kigugumizi.Imeisha hiyoooo,chezea Mo wewe,kwani hao CAS wanabei ghali kuzidi Lozi Lozi!
Tuwekee maana ulisema leo hii, ukimaanisha jana... itasikilizwa na kutolewa hukumu leo hii.
Sio FIFA ni CAS jombaa.Mo anahela gani za kuhonga FIFA, hiyo 20bil kuilipa anapata kigugumizi.
Haya tufanye CAS, hela ya kuonga CAS anayo.........Sio FIFA ni CAS jombaa.
Bilioni 20 zipi tena jombaa.
Ombea mtu mema siku zote.Morrison ni mchezaji asiye na shukrani hata kidogo! Ana tabia nyingi zinazo fanana na za Hajji Manara!
Kiukweli naombea tu atiwe hatiani na hivyo kupata adhabu kali.